MADAKTARI rudini,WALIMU gomeni...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Kama kweli Serikali ina nia ya dhati ya kuboresha mazingira ya kazi ya Udaktari kama alivyosema Rais Kikwete jana,wale Madaktari wanaovutiwa na malipo ya Serikalini na warudi kazini.Wafanye hivyo hima ili wajitenge na wanaotaka maboresho.Msichangamane kinafiki.Kila mtu na achague upande umfaao. Haraka!

Walimu je? Nao,waanzie kwa Madaktari.Wagome.Wasikilizie ahadi tamutamu za Wakuu wa Nchi. Tarehe yenu ya kugoma inakaribia.Ni tarehe 9/7/2012,siku ya kufungua Shule.Zamu kwa zamu.Daini haki yenu mkisubiri ahadi zao...
 
Kama kweli Serikali ina nia ya dhati ya kuboresha mazingira ya kazi ya Udaktari kama alivyosema Rais Kikwete jana,wale Madaktari wanaovutiwa na malipo ya Serikalini na warudi kazini.Wafanye hivyo hima ili wajitenge na wanaotaka maboresho.Msichangamane kinafiki.Kila mtu na achague upande umfaao. Haraka!

Walimu je? Nao,waanzie kwa Madaktari.Wagome.Wasikilizie ahdai tamutamu za Wakuu wa Nchi. Tarehe yenu ya kugoma inakaribia.Ni tarehe 9/7/2012,siku ya kufungua Shule.Daini haki yenu mkisubiri ahadi zao...

usinikumbushe ya braza gratian mukoba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom