Madaktari nisaidieni: Ugonjwa gani huu!

Ulishawahi pima HIV, a.k.a damu kubwa? Maana fungus wa kooni wanaendana na aka kaugonjwa japo kuwa sio wakati wote.
Ni kweli mkuu hata mimi nilisoma kwenye mitandao. nilipima mara nyingi tu na nikakutwa -ve
 
pole naweza kukushauri kuna vidonge vya multifruit ni vya kiyunani ninaviamini sana na havina side effects zozote na si vya gharama kubwa kama utakuwa tayari ni pm
 
Nimekuwa nikisumbuliwa na ugonjwa ambao unanichanganya sana na nimedumu nao kwa miaka 12 sasa. Mwili kuwaka moto na maumivu kwenye kifua. Mara nyingi huanza maumivu makali kwenye kifua, si kubana bali ninavyosikia ni dhahiri kama kuna vidonda maana wakati fulani panaweza kupoa kabisa, lakini labda ukipata chakula fulani au hata kinywaji maumivu yanaanza. Hapo viungo vingi vya mwili huanza kuwaka moto ikiwemo mikono, miguuni kwenye nyayo, sehemu yote ya kichwa pamoja na maumivu kwenye mgongo. Wakati mwingine nasikia maumivu makali kwenye kifua lakini baadhi ya viungo hususani mikono huonekana kama inauma lakini kana kwamba ina ganzi.

Mwanzoni ilibainika ni ulcers, nikatumia sana dawa za hospitali na nikapima vipimo pale muhimbili na kuendelea na dawa za hospitali na kienyeji ikiwemo ya dr . rahabu. Hivi karibuni nimepima mara mbili na kuambiwa ulcers imepona. Cha kushangaza bado maumivu makali kwenye kifua.

Nimeona niulize hili maana wiki hii nina appointment na dr. mmoja ambapo nataka nimwombe anipige x ray.Naomba mnisaidie kuutambua ugonjwa huu ili niwe na input ya kutosha kumsimulia daktari. Kuna daktari mmoja alishawahi guess kuwa yawezekana ini likawa na tatizo na akanishauri nitumie mitishamba. nilitumia kwa siku 7/15 nikakatisha dozi baada ya maumivu kuzidi kuliko kawaida.

Naombeni msaada wenu wakuu

UPDATE 13/09/2011
Nilikwenda hospitali ya muhimbili kama watalaamu humu walivyonishauri na kufanyiwa kipimo cha endoscopy. Majibu ni kwamba hakuna vidonda vya tumbo bali kuna fungus kwenye kifua na nikapewa dawa inaitwa fluconazole kwa siku 14. Baadaye nikaenda regency kwa ajili ya x ray na majibu hakuna tatizo.

Hali yangu baada ya kumaliza dozi
Kwa kweli najisikia vizuri ingawa bado maumivu nayasikia wakati fulani ingawa si makali kama awali. Nadhani fungus hazijaisha. So naombeni ushauri nirudie dozi au nitumie dawa gani tena.
Wasalaam

Pole mkuu. at least umeona kwamba kumbe tatizo siyo ulcers. nakusahauri sasa uendelee kujitibu kwa hilo tatizo lilionekana ambalo kimsingi si kubwa sana maana hata mimi nilikuwa nalo na sasa mwaka wa 5 kimya kabisa. Nadhani unaweza kurudia dozi hiyo ya fluconazole au unaweza kujaribu itraconazole ambayo pia ni jamii ya fluconazole. ila unaweza kumconsult dr wako akushauri.
Naamini utapona kabisa maana hizo fungus siyo resistance sana. Pia jitahidi kunywa maji kama wadau wengine walivyoshauri
 
I

Nashukuru kwa kua upo hewani tushauriane maana mimi nipo nyumbani..nina sumbuliwa na tatizo kama hilo..nimefanya vipimo ninavyo na nimeshalielewa japo treatment bado ngumu.na kupa namba nipigie
 
Nimekuwa nikisumbuliwa na ugonjwa ambao unanichanganya sana na nimedumu nao kwa miaka 12 sasa. Mwili kuwaka moto na maumivu kwenye kifua. Mara nyingi huanza maumivu makali kwenye kifua, si kubana bali ninavyosikia ni dhahiri kama kuna vidonda maana wakati fulani panaweza kupoa kabisa, lakini labda ukipata chakula fulani au hata kinywaji maumivu yanaanza. Hapo viungo vingi vya mwili huanza kuwaka moto ikiwemo mikono, miguuni kwenye nyayo, sehemu yote ya kichwa pamoja na maumivu kwenye mgongo. Wakati mwingine nasikia maumivu makali kwenye kifua lakini baadhi ya viungo hususani mikono huonekana kama inauma lakini kana kwamba ina ganzi.

Mwanzoni ilibainika ni ulcers, nikatumia sana dawa za hospitali na nikapima vipimo pale muhimbili na kuendelea na dawa za hospitali na kienyeji ikiwemo ya dr . rahabu. Hivi karibuni nimepima mara mbili na kuambiwa ulcers imepona. Cha kushangaza bado maumivu makali kwenye kifua.

Nimeona niulize hili maana wiki hii nina appointment na dr. mmoja ambapo nataka nimwombe anipige x ray.Naomba mnisaidie kuutambua ugonjwa huu ili niwe na input ya kutosha kumsimulia daktari. Kuna daktari mmoja alishawahi guess kuwa yawezekana ini likawa na tatizo na akanishauri nitumie mitishamba. nilitumia kwa siku 7/15 nikakatisha dozi baada ya maumivu kuzidi kuliko kawaida.

Naombeni msaada wenu wakuu

UPDATE 13/09/2011
Nilikwenda hospitali ya muhimbili kama watalaamu humu walivyonishauri na kufanyiwa kipimo cha endoscopy. Majibu ni kwamba hakuna vidonda vya tumbo bali kuna fungus kwenye kifua na nikapewa dawa inaitwa fluconazole kwa siku 14. Baadaye nikaenda regency kwa ajili ya x ray na majibu hakuna tatizo.

Hali yangu baada ya kumaliza dozi
Kwa kweli najisikia vizuri ingawa bado maumivu nayasikia wakati fulani ingawa si makali kama awali. Nadhani fungus hazijaisha. So naombeni ushauri nirudie dozi au nitumie dawa gani tena.
Wasalaam

Au jaribu ku google "reflux esophagitis" utapata ufafanuzi kama tatizo linafanana au la
 
Mkuu hili tatizo ulipona?
 
Una umri gani? Una shinikizo la damu ?
 
Pole sana AFANDE, nadhani unaweza ukawa na tatizo kwenye mfumo wa chakula au gastriosis, jaribu kufanya check up zaidi. Hata mimi nilikuwa na tatizo km hilo nikafanyiwa EGO, niliambiwa ninatatizo la EGD na hitus hernia, mpaka sasa niko kwenye dozi, nilipewa vidonge vya essomeprazole na anti acid. Namshukuru Mungu naendelea vizuri.
 
Nina tatizo kama hilo tangu 2009 linanisumbua sana,situmii majani ya chai,pilipili na vyakula vyenye acid,
 
Mkuu mzizimkavu, heshima yako. nilitembelea https://www.jamiiforums.com/jf-doct...i-utumbo-mkubwa-na-mdogo\duodinal-ulcers.html na kukutana na ushauri wa kapotolo. Nilipiga x ray na kuanza. Nilichomwa sindano 5, omeprazole na metronidazole na paracetamol. Sikupata ahueni, niliporudi rudi hospitalini nilimwomba dk anibadilishie dozi cimetine 1 x 2/10, secnidazole 2x1/3 na amoxilline 2 x 3/5. Dozi ya cimetidine namalizia kesho na to be sincere there are some changes, but let me wait at least 7 days after completion of doze to declare improvement. Karibu
Kwahyo bro ww tayar ushapona au
 
Pole sana AFANDE, nadhani unaweza ukawa na tatizo kwenye mfumo wa chakula au gastriosis, jaribu kufanya check up zaidi. Hata mimi nilikuwa na tatizo km hilo nikafanyiwa EGO, niliambiwa ninatatizo la EGD na hitus hernia, mpaka sasa niko kwenye dozi, nilipewa vidonge vya essomeprazole na anti acid. Namshukuru Mungu naendelea vizuri.
So ushapona mkuu
 
WWw ulipona
Pole mkuu. at least umeona kwamba kumbe tatizo siyo ulcers. nakusahauri sasa uendelee kujitibu kwa hilo tatizo lilionekana ambalo kimsingi si kubwa sana maana hata mimi nilikuwa nalo na sasa mwaka wa 5 kimya kabisa. Nadhani unaweza kurudia dozi hiyo ya fluconazole au unaweza kujaribu itraconazole ambayo pia ni jamii ya fluconazole. ila unaweza kumconsult dr wako akushauri.
Naamini utapona kabisa maana hizo fungus siyo resistance sana. Pia jitahidi kunywa maji kama wadau wengine walivyoshauri
Ww ulipona na nin
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom