Madaktari Mt Meru Hospital Arusha waripoti kazini chini ya ulinzi wa polisi na JWTZ?

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234
Wadau, nakiri nimeiona habari hiya katika ITV usiku huu mwisho mwisho - madaktari wakiwa na maafisa wa polisi na wa JWTZ katika mkutano na mmoja wa hao madaktari akielezea umuhimu walioona wa kurudi kazini, akisema serikali inashughulikia suala lao na hapo hapo kuwalaumu madaktari wengine waliogoma.

Nauliza jee walilazimishwa kuripoti au walikwenda kwa hiari yao?

Aliyeoona habari hiyo in full atujuze hapa.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Hebu chunguza vizuri kama si janja za serikali kumchukua mtu mtaani na kumvisha magwanda ya madaktari ili kaseme hayo ulioysikia ili kuwavunja nguvu madaktari wengine wengi zaidi wanaoendeleza migomo halali kote nchini? Funguka akili, hizo ni sinema tu ITV!!

Hiyo inawezekana kabisa. akini hiii ikijajulikana si wataona aibu?
 
Wataibuka wengi, watarubuni wengi, mwisho wa siku watakubali haki ya mtu haipotei.
Haiwezekani wajinga wajinga kama wa hapo PPF,NSSF, BUNGE, TANAPA,TBS,TRA,TPA na vitengo vingine wanalipana mabilioni huku wavuja jasho kama madaktari, walimu, wakufunzi,polisi, na hata manesi wakilipwa mishahara isiyokidhi huku wakikatwa kodi kubwa kuliko wenye maduka, na biashara kubwakubwa
 
CCM and the perpetual 'fire fighting strategy' almost on every other national issue; siku zote hawanaga cha proper planning on anything bali mambo ni dandi dandia hivo hivo tunakwenda ki-Mungu Mungu hivo hivo kweli kuna kzi!!!
 
Back
Top Bottom