Madaktari msiwasahau wenzenu

tutaweza

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
634
457
Nimejaribu kufuatilia madai ya madaktari ila sijakutana na hoja yeyote inayozungumzia clinical officers/medical assistants.
Clinical officers ndio wale wanaoitwa madaktari huko mikoani na wilayani na ndio wengi na wanafanya kazi sawasawa na MDs kwani nao wanafanya operations.
Wakumbukeni wenzenu jamani, wawakilisheni maana nahisi hata wao kima chao cha chini ni kidogo.
 
Back
Top Bottom