Jackbauer
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,038
- 2,199
Acheni jazbar...mtoa mada yuko sahihi madaktari wameawa na rushwa za kila aina. pampja na ufisadi... Ni Daktari yupi wewe umjuaye hana duka la madawa? Dawa wanazuza madukani mwao zinatoka wapi....majority wanakuwa wamezipora katika hospitali zetu za wananchi......theni ukienda hospital unaambiwa hapa dawa hii hakuna nenda famasi ya fulani pal mjini ndo anauza dawa nzuri...kumbe duka ni la kwao.....wanaJF hawa hamwajui? au hamjawahi kuugua mkaambiwa hayo? kama bado subirini....
hujui ulisemalo kaa kimya!
Maduka ya dawa hayaruhusiwi kuuza dawa za serkali.dawa hizo zina nembo ya MSD