Madaktari kushitakiwa na wanaharakati

FIDIVIN

Senior Member
Aug 4, 2010
187
41
Wanasema mgomo ulisababisha vifo vya watu 300 na madai ya kulipwa mshahara wa mil 3 ni jambo lisilowezekana. Pia itakuwa funzo kwa makundi mengine yanayojiamulia tu kugoma bila utaratibu.

Soma zaidi:

Dar es Salaam. A committee comprising 36 activists plans legal action against doctors who went on strike recently.
The activists said the doctors should be taken to task because their strike had caused unnecessary deaths of innocent people. Talking to journalists in Dar es Salaam yesterday, the chairman of the committee, Mr Godfrey Mosha, said the doctors’ should be punished and serve as a lesson to other groups with the same intention.

“Our committee is in the process to take to the High Court Labour Division all those who participated in the strike,” he said. Mr Mosha rallied behind various activists and other groups in the country to support their move, which he said was meant to fight for the lost people’s rights.

“We appeal to all well wishers in to support our cause,” he noted. He explained that the committee comprising lawyers, environmentalists and retired doctors, observed that at least 300 people died as a result of the strike and that doctors signed attendance books, never worked but continued to draw salaries. He noted that apart from acting against the laid down regulations and laws, the striking doctors acted against their ethical code of professional conduct.

“This cannot be tolerated,” he explained, adding that doctors are not a special group of people in the country than other working groups such as the police, teachers and army. Explaining further, Mr Mosha said the committee and Tanzanians in general were saddened by the behaviour shown by doctors when they earlier refused to cooperate with the Premier, Mr Mizengo Pinda, with a clear knowledge that Mr Pinda is a legitimate high ranking government leader.

He said the demand for salaries ranging from Sh3 million for starting doctors and Sh17 million for consulting ones was not feasible considering the government’s financial capacity at the moment.The committee commended President Jakaya Kikwete for reaching a consensus with the striking doctors to go end the strike.He called on civil servants and public workers to be patriotic.
 
Mbona wanaweweseka, anaetaka udaktari akasome tena sekondari then MUHAS, KCMC, BUGANDO etc vinawasubiri.
 
These damn activists will expose themselves of their evil plans.
In court claims are not backed by political announcements feelings of elder or group of elites.
In order to justify their claims they will have to prove that no one had died in hospital for the lack of medicine, poor sanitation and lack of right equipment in hospitals.
They will have to tell the court how many death are assumed to be normal in hospitals and what environment in hospitals are assumed to be normal when death of a patient happen.
They will have to prove that the funding appropriated for hospitals national wide were used as planned, also they will have to come with relevant evidence that justify the spending.
They will have to prove that doctors have every thing they need in order to use their skill to serve patients.

Wanasema mgomo ulisababisha vifo vya watu 300 na madai ya kulipwa mshahara wa mil 3 ni jambo lisilowezekana. Pia itakuwa funzo kwa makundi mengine yanayojiamulia tu kugoma bila utaratibu.

Soma zaidi:

Dar es Salaam. A committee comprising 36 activists plans legal action against doctors who went on strike recently.
The activists said the doctors should be taken to task because their strike had caused unnecessary deaths of innocent people. Talking to journalists in Dar es Salaam yesterday, the chairman of the committee, Mr Godfrey Mosha, said the doctors’ should be punished and serve as a lesson to other groups with the same intention.

“Our committee is in the process to take to the High Court Labour Division all those who participated in the strike,” he said. Mr Mosha rallied behind various activists and other groups in the country to support their move, which he said was meant to fight for the lost people’s rights.

“We appeal to all well wishers in to support our cause,” he noted. He explained that the committee comprising lawyers, environmentalists and retired doctors, observed that at least 300 people died as a result of the strike and that doctors signed attendance books, never worked but continued to draw salaries. He noted that apart from acting against the laid down regulations and laws, the striking doctors acted against their ethical code of professional conduct.

“This cannot be tolerated,” he explained, adding that doctors are not a special group of people in the country than other working groups such as the police, teachers and army. Explaining further, Mr Mosha said the committee and Tanzanians in general were saddened by the behaviour shown by doctors when they earlier refused to cooperate with the Premier, Mr Mizengo Pinda, with a clear knowledge that Mr Pinda is a legitimate high ranking government leader.

He said the demand for salaries ranging from Sh3 million for starting doctors and Sh17 million for consulting ones was not feasible considering the government’s financial capacity at the moment.The committee commended President Jakaya Kikwete for reaching a consensus with the striking doctors to go end the strike.He called on civil servants and public workers to be patriotic.
 
He he wanafiki sasa wanakamatana wao kwa wao!!!!! yule mzee pale diamomd alikuwa yuko sahihi.
 
Hizo Propoaganda za kijinga. Wanaharakati gani? Mbona hawajataja mashirika? Hawa lazima wametumwa na Serikali manake wanaharakati makini tunaowajua
1. Wanajua tatizo ni serikali na kama wangefungua kesi wangefungua dhidi ya serikali
2. Wangekuwa na msimamo kama huu, JK angewasifia kweli kweli kwenye stori yake aliyotuhadithia majuzi na sio kuwaponda
 
Mosha??? kama kawaida ya wajikombi, tuko tayari tutakutana nao, madaktari wala msikonde tuko tutasimama kwa ajili yenu na sisi tutapeleke yetu sasa ICC tuone kama huyu anatofauti na Assad, halafu hawa wakina Mosha wenye shule ndogo wanaongea nini mbele ya watanzania waliosoma kwa muda mrefu kuliko watu wowote, mbwa hawa
 
Tatizo wanapuuzia kabisa ukweli kuwa mgomo haukusababishwa na madaktari!

Ivi kati ya serikali na madaktari nani aligoma? kuna utawala wa sheria, walitakiwa kufuata taratibu zote za kisheria kabla ya kufanya mgomo ili serikali itiwe makosani. sasa wao walikurupuka kugoma wakasahau sheria zinasemaje upande wao. wana hatia na wanatakiwa kujibu kesi. Na media ndizo ziliwapoteza zaidi hao madaktari. Media zilipublish zikidhani zinaikomoa serikali kumbe zinawakomoa madokta. na mgomo uliowachora zaidi ni huu wa pili.
 
Hizo Propoaganda za kijinga. Wanaharakati gani? Mbona hawajataja mashirika? Hawa lazima wametumwa na Serikali manake wanaharakati makini tunaowajua
1. Wanajua tatizo ni serikali na kama wangefungua kesi wangefungua dhidi ya serikali
2. Wangekuwa na msimamo kama huu, JK angewasifia kweli kweli kwenye stori yake aliyotuhadithia majuzi na sio kuwaponda

Unataka kusemaje kazi Wanaharakati wa kweli ni kuwa against Serikali siku zote? Hapo umeteleza au hujui kazi za Wanaharakati. Nadhani hilo kundi lingine nalo liko sahihi tukiacha Mambo ya siasa kwa sababu watu/ kundi la watu hawawezi kuwa na mawazo yanayofanana.
 
Nimeipenda, madaktari hawako juu ya sheria na wanatakiwa wafuate sheria za nchi....nadhani upele umepata mkunaji... sijui kwanini tunatetea ujinga..... hivi kama huu mgomo wa pili ni justifable?? kwa lipi??
 
Teh teh teh!hawa activists ni kutoka taasisi zipi?maana hawajataja taasisi zao,kila jobless siku hz amekua mwanaharakati!they makes me laugh!Mr. Godfrey Mosha u still have a chance to go back to school and learn!utakuja kuwa na proffessional yako itakayokusaidia kuliko kutumika kwa vijisenti vidogo vidogo na kujiita mwanaharakati!hii ni political motivated
 
Jukumu la kutoa huduma za afya liko mikononi mwa serikali inayokusanya kodi, na kupokea misaada kwa niaba ya watanzania. Na wanaharakati wanatakiwa watambue kabisa kuwa serikali ya Tanzania inayo uwezo wa kuwalipa madaktari mshahara hata milioni 7 (sio 3) kwa mwezi. Uwezo huo upo hata na zaidi lakini hela zimeishia kwenye mifuko ya watu wachache, safari, posho na wakina EPA.

Haiwezekani mbunge anayelala usingizi alipiwe hela nyingi kuliko dakatri! Nchi nyingine madaktari wanalipwa zaidi ya mawaziri. Tanzania ni kinyume kabisa.

Pili, maadam hao wanaharakati wanaonekana kuwa wazuri wa kutafiti mambo, ni vizuri wakauambia umma wa Tanzania ni wagonjwa wangapi wanapoteza maisha (i.e kila mwezi) kwa kukosa huduma stahiki? Daktari kuwa wodini haimaniishi wagonjwa wanapata huduma. Kama hakuna dawa daktari atafanya nini? Kama hana vifaa atamtibu vipi mgonjwa?
 
Tatizo wanapuuzia kabisa ukweli kuwa mgomo haukusababishwa na madaktari!

Unatulazimisha kuamini uongo uwe ukweli, na ukweli uwe uongo eeenh?
Haya wewe mwenzetu endelea kula Bata maji huko Ulaya, huku ukitucheka sie tuliosota na kufiwa na ndugu na jamaa zetu kipindi cha mgomo.
 
Hawa wanaharakati wako serious?Waache kukubali kutumika kisiasa!!
Hivi wao wanalipwa shilingi ngapi kwa mwezi?Na inakuwaje waisemee serikali kwamba haiwezi kumlipa daktari milioni 3?Kwa nchi kama Tanzania,madini,utalii vingekuwa vinasimamiwa barabara(bila ufisadi),hakika hata walimu na polisi wangelipwa mishahara inayokidhi viwango!!

Mbona sikumbuki kama waliwahi kuipeleka serikali mahakami kwa kushindwa kumpa Mtanzania mahitaji muhimu?Ni wangapi maeneo mbalimbali wanakufa kwa njaa?wangapi wamekufa kwa kukosa fedha za matibabu?
Wangapi walikufa MV Bukoka kwa Uzembe?je ile meli ya juzi Zanzibar?
Hivi kuhusu issue ya kina Zombe kuua raia,wanaharakati waliingilia kati?
Je mauaji ya Mwembechai,Arusha,Mbeya na kwingineko?

Waache unafiki!watu kama hawa ndio wanatuchelewesha kufika tuendako!!
 
Wanaume 'wamegeuzwa' wanawake lakini wanawake wamegeuka wanaume. Ananilea Nkya na Kijo Bisimba kwa uwezo wao kupima mambo na kutetea haki za wagonjwa kwa kuishinikiza serikali kutafuta suluhu juu ya mgomo wanaweza kuwaoa akina Mosha na wakaendesha familia vizuri. Best wishes Mrs. Mosha Nkya and Mr. Nkya family. Mosha amechumbiwa, bwana mtarajiwa Ananilea Nkya.
 
Sounds to me like it's politically motivated....

Kweli kaka,

Hawa lazima wako kazini.....Daktari hawezi kulipwa milioni 3 ila Mbunge anaweza kulipwa karibia 10mil na Naibu waziri analala kwenye chumba cha laki 4 kwa siku.....

Haya bwana....ila naamini hii kesi itatusaidia kujua mengi kwani Madaktari wamekuwa kimya sana wakati serikali imejitahidi kupuliza mavuvuzela kwa saaaana!!!!!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom