Madaktari Kenya wagoma...hii inaruhusiwa?

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Wakuu,

Kuna madaktari kule Kenya wamegoma kwa sababu ya kutaka kuongezwa mishahara na kuboresha sehemu zao za kazi. Kuna mtu alinitonya kua kuna baadhi ya hizi service jobs ambazo si halali kugoma.Je hii imekaa vp?


DNDEMONSTRATION0203b.jpg



Medical practitioners and interns protest along Harambee Avenue, Nairobi on March 3,2011. They called for the government to improve their working conditions and reviews their remuneration.


DNDEMONSTRATION0203f.jpg

 
DNDEMONSTRATION0203e.jpg


Medical practitioners and interns protest along Harambee Avenue, Nairobi on March 3,2011.



DNDEMONSTRATION0203.jpg




DNDEMONSTRATION0203c.jpg

 
Inasikitisha sana!
Hawa vijana naamini ni miongoni mwa wanafunzi waliofaulu vizuri, ili kupata nafasi ya kusoma huo udakitari.
 
Kwa hakika ni balaa kwa wahudumu wa afya kugoma - lakini iwapo njia nyingine za kupigania masilahi yao hazitoi matunda wafanye nini?
 
Inaonekana juhudi za kukaa meza moja zilishindikana mpaka wakaamua kugoma hata kama taaluma yao haiwaruhusu kufanya hivyo,kwa wakati tulionao nadhani hii ndio njia pekee ya kupata haki kwa haraka toka kwa serikali na tawala mbalimbali duniani.
 
kwa nini ishindwe kuruhusiwa??
si nao ni wafanyakazi wa umma??
Egypt,Tunisia,Libya na kwingineko mbona madaktari na maprofesa wamegoma/???
Hawa watu wanahitaji kupewa maslahi mazuri ndio maana wanakimbilia nje ya nchi
 
bad pay n bad working conditions result in african brain drain.These guys sometimes have no quipment n medication for the patients.wana haki ya kugoma
 
Inasikitisha sana!
Hawa vijana naamini ni miongoni mwa wanafunzi waliofaulu vizuri, ili kupata nafasi ya kusoma huo udakitari.

Hili huwa linaumiza sana hasa wakianza kujilinganisha na wenzao ambao pengine hawakufanya vizuri kimasomo kama wao lakini wanapata maslahi bora zaidi kazini!
 
Back
Top Bottom