Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 481
Msijali wabunge watavaa makoti ya madaktari na kuingia kazini. Si kuna akina Prof. Maji Marefu!!!!!
Ntamwona Askofu aruhusu Babu aletwe kwa dharura! Maana kama Pinda kawaleta mjeshi basi nasi kanisa tutatumia resources zetu ala!