Madaktari KCMC wafungiwa kwenye ukumbi wa mkutano na wana usalama

Hahaaaaaa...nilisema siku Tanzania imefika, hii ngoma ya Madoctor wa ukweli si mchezo jamani.... na bado subiri muone yanayokuja mbeleni......
 
Habari zisikuwa rasmi ni kuwa serkali ya Botswana inatafuta mawasaliano na madaktari hawa na inaonekana iko tayari kuwapa mahitaji yao yote na uraia juu. Je wenzetu hawa wa Botswana wanatumia miujiza gani?
 
Ata kama ningekuwa mimi ningekomaa haiwezekani wenzako wanaongezewa posho wewe ukidai unaambiwa utafukuzwa kazi.
 
Hii yote inatokana kwa sabb viongoz tulio waweka madarakani wanaufinyu wa kufikiri, raisi, waziri mkuu, na spika wote wamekubaliana kuwa posho ya wabunge iongezwe, lakini madaktari serikali haina pesa inawezekana kweli?

......si kweli kukosa pesa: serikali inapesa nyingi sana; labda kama zinabaniwa ili wazichomoe na waondoke nazo: alafu 2015 rais mpya(anafahamika) akiingia madarakani akose pa kuanzia.
 
kitaeleweka tu. Tucta nao sijui wako wapi,watu wameshakatiwa posho kibao serikali watu wamebaka na vimshahara hv vya tgs,aaaaaah! Nahisi kumnyonga .....re
 
This message has been deleted by Bikira Wa Kiume. Reason due to upuuzilization of government leaders. Tehe
 
Back
Top Bottom