tonnyalmeida
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 226
- 46
Leo jioni jk ataongea na wazee wa mwanza, kama alivofanya kwa walimu jambo linalotegemewa kuzungumzwa ni mgomo wa madaktari..
Naomba kuwasilisha.
Naomba kuwasilisha.
kwa sasa haruhusiwi kuongelea suala hili kwani linashughulikiwa na bunge.akifanya hivyo itaamaanisha anaingilia uhuru wa bunge.
Inategemea na agenda inayokupeleka ikulu.Ikulu si sehemu ya kukimbilia,
Kama akifanya hivyo itakuwa ni dharau kubwa sana kwa wanataaluma kwenye hii sekta...
wazee wenzangu hawa wa mwanza hivi unadhani watamwambia nini
hakuna jipya hata moja ..
hana akili ya kujipanga huyo subiri uone upupu atakao mwagwa ambao utaiwasha tanzania kwa muda wa kutosha!nikiangalia hotuba yake ya hapa kirumba ianelekea kajipanga sana.
hana akili ya kujipanga huyo subiri uone upupu atakao mwagwa ambao utaiwasha tanzania kwa muda wa kutosha!
Wazee wa Mwanza wamekwishamzarau ndio maana ukiangalia picha zao walipokuwa wanamkalibisha hawakuwa wamevaa magwanda ya kijani kama walivyovaa wanafunzi!!
usitarajie jipya hapa mkuu, mark my words!we keep our ears to the ground, who knows he may suprise us with some unheard wisdom, let us give him another chance