Madaktari huingia jeshini kwa kupenda au kutafuta maslahi bora?

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,039
2,199
wakuu hili ni swali muhimu la kujiuliza kama kweli madaktari wanaoenda jeshini walipanga kufanya hivyo au ni kwa sababu ya maslahi na mazingira duni ya madaktari?hata kama madaktari hawa ni clinical officers je ni kweli dhamira zao ziliwatuma kuingia huko au ni kutafuta maslahi kama walivyo wataalamu wengi waliojiingiza kwenye siasa.
 
Mkuu,
Kwa miaka hii hakuna wito wa kazi, wala profession hazina ishu tena!
Ninamjua Clinical Officer anayefanya kazi bank clerk hapa mjini!
Kazi ni kazi Mkuu!...bora watu wapate bapa jioni!
 
Could be both...wengine wanapenda geshi wengine njaa zimewapeleka. Wengine wanaenda kufanya kazi kama kituo cha kazi maana hawawezi kujaa kijitonyama au kule magogoni
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom