Madaktari Dodoma wapo bar

Mkuu location yako mara nyingi huwa inakwenda na matukio....hasa pale unapokanusha jambo.....Tusishangae kwenye thread nyingine ukaja ukadai upo Muhimbili...
teh teh tehe Mkuu basi mimi ni kama mzee punch wa enzi hizo!
 
njoo karibu na kaunta kwa huyu mama mchaga hapa nipo na madaktari wanne utatuona mkuu
Mkuu utaniona punde. Nilikuwa hapa dispensary ya aga khan kucheck malaria nipo round about najongea.
 
Mmmmmhhhhh!!! Ukiona hivyo nawewe ushatleleza kimya kimya ushakaaa maeneo ya huku kwa mpare kwenye hiki kibanda wanachouza vocha kilichosambamba na kuelekea chooni haya tuone mana namimi nipo kwapembeni nasubili nione uo mchezo kwamaana!!
 
CAREBEAN panauzwa KITIMOTO!!!! Na madaktari waislamu wapo au umeona wawili wakipata lunch umejumuisha wote???

Hivi waislam hawali kiti moto he he heee labda nguruwe heee we kim, salama, rama, michuziiiiiiiii.
 
Mmmmmhhhhh!!! Ukiona hivyo nawewe ushatleleza kimya kimya ushakaaa maeneo ya huku kwa mpare kwenye hiki kibanda wanachouza vocha kilichosambamba na kuelekea chooni haya tuone mana namimi nipo kwapembeni nasubili nione uo mchezo kwamaana!!

Tulia..
 
Agizeni nguruwe kilo 4,niko Bahi nadrive kutoka Singida & hopefully hadi nikifika itakuwa tayari.Mwambie airosti halafu asonge na dona la sh 2000/-Madokta msiondoke hapo please,nina ujumbe wenu.
 
Mkuu sioni daktari hapo! Unaona kagari kangu ka blue kanaoshwa hapo nami nimekaa hapo jirani nasubiri wamalize niondoke!

Me mwenyewe nimepita pembeni lakini kwa harakaharaka sijaona watu labda mleta thread atufahamishe Bar nyingine inayoitwa Carribean kwa sababu wengine wageni mji huu ati....Mtindi time hizi sio jadi yangu i was joking.
 
Nipo hapa mkoani dodoma , nimetembelea muda huu bar maarufu ya carribean jirani na ofisi ya bunge nimekuta madaktari wengi sana wakiondoa stress kwa kupata vinywaji source ni phd mwenyewe nimeungana nao na heniken yangu ya baridi

Kukuhakiki ni ngumu sana,uliza kwa nini?
1. Hatuna uwezo wa kumtuma mwana chitchat yeyote kuja huko..
2. Wala hatuna memba mwingine aliyeko hapo,na hata kama yupo,kuwa tayari kueleza haya uliyoeleza hapo juu..

Halafu waweza kuwa muongo kwa maeneo haya...
1.Kama kweli uli/uko Carribean
2. Kama kweli umethibitisha hao wanywaji wengine ni madaktari(isije ikawa ni mmoja,au hakuna kabisa)
3. Kama kweli umeungana nao na kuanza kunywa
4. Kama kweli unatumia kinwaji cha baridi
5. Kama kweli unatumia Heineken !

Enjoy!
 
Mkuu hakuna kitu kama hicho hapa carribean karibu na VETA mukabala na ofisi za Scandinavia. Labda carribean nyingine
 
Me mwenyewe nimepita pembeni lakini kwa harakaharaka sijaona watu labda mleta thread atufahamishe Bar nyingine inayoitwa Carribean kwa sababu wengine wageni mji huu ati....Mtindi time hizi sio jadi yangu i was joking.

Natoka hapo niende zangu chako ni chako kula kuku kabla mvua haijanyesha manake kila jioni hapa dom mvua inapiga na chako inakosa wateja.
 
So huyu jamaa ni msanii siyo...?!
Carrebean anayosema ni Carrebean Park na kuna kiti moto na car wash. nimefika pale nimeosha gari na sijaona mtu awaye yote akinywa haineken na wanasema leo hawajauza heineken!
 
so tunajifunza matatizo ya utumiaji mbaya wa mitandao ya kijamii..

Nina hakika Phd sitamsahau,kila jukwaa nitakalomwona...
 
Hata wewe umeenda kuwaunga mkn kwa ushenzi wanaotufanyia au wewe huuguliwi huna ndugu mgönjwa
 
We are in cold war. As author of philosopher depicted, War is the penomenon where an authority iis cahllenged in such way that it looses its authority towards ruled class. Ukipigana na nchi ukaamua kuwachomea mashmba yao au kuweka sumu kwnye maji wakasuffer bila hata kutumia sime hiyo ni vita. Watanzania tupo vitani kwa muda sasa we are declared now unstable and a nation with shaking democracy.
 
Back
Top Bottom