Madaktari bingwa watatu.

Manywele.

Member
Nov 25, 2011
25
3
Madaktari bingwa kutoka nchi tatu yaani Tanzania,Germany na China walikutana kuelezea mafanikio ya nchi yao. Akaanza mchina kwa kusema kwetu alizaliwa mtoto hana mikono tukamuwekea ya bandia na sasa ni mpiganaji karate maarufu, akaja mjeruman akasema sisi alizaliwa mtoto hana miguu tukamwekea yabandia na sasa ni mwanariadha na anamedali mbili za dhahabu, akaja mtanzania kabla ya ksema akacheka kwa kejeli kidogo then akaendelea kwa kusema nyote hamjafanya kitu, kwetu sisi maeneo ya bagamoyo alizaliwa mtoto hana kichwa tukamwekea boga na sasa ni raisi wa nchi yetu.
 
Aaaaaarghhhhhhhhhhhhhh;wewe mtuma post utakuwa ndio huyo mtz kwa sabab unashindw kufikiri zaidi ya ku edit kazi za wengine
 
Back
Top Bottom