Madaktari bingwa Muhimbili Watangaza mgomo rasmi

Maaskofu, Kardinali, Sheikhe Mkuu, hapa mnahitajika kwani ni mpaka mtumie hekima mliyopewa na Mungu muonane na Mheshimiwa Rais mumpe mawazo yenu kwani yanahitajika sana. Wanaoumia ni sisi waumini wa madhehebu na dini mbalimbali ambao ndio mnaotulisha Kiroho. Wekeni appointment na Mheshimiwa Rais tafadhalini. Na kama kuna watu wenye hekima kwenye taasisi za kimataifa na kitaifa please book an appointment with the President and discuss with him whatever you can help Tanzanians.

Thanks very much.
 
JK NAE SI NI dR?AHAMIE MUHIMBILI AU ALIVYOITWA DR KWA KUTANIWA ALIDHANI KUWA NDO KAFIKA NA ANAFANANA NA WENYE FANI ZAO?
 
acha wagome, we are tired na njaa zao. wamepewa two choices waacha kazi au wakubali mshahara... hawakuelewa nini???? wanede huku Regency, TMJ na tumaini walikokua wanaiba equipments na reagents zetu kuto muhimbili na kuvipeleka huko. shame on them

Dead mind! bangi la chooni hili lina stimu ya mavi!!

 
Bunge saidieni Serikali. Haya mazingaombwe yanayoendelea yanamaanisha kuwa hizi pande mbili zimeshindwa kuhafikiana. Serikali amechukua lungu na madaktari wamechukua upanga. Hawa ni mafahari wawili. Serikali inahitaji watu wenye busara kusaidia kutatua mzozo huu. Bunge itisheni kikao cha dharura kuangalia kwa makini tatizo hili. Hizo blabla zinamaliza watanzania. Please please tunaitaji solution siyo vita.
 
Rais alikosea sana kutoa kauli ya "anayetaka kazi afanye na asiyetaka aondoke"kauli kama hizi hutolewa na makaburu kwenye migodi kwa wafanyakazi wasio na elimu ,hii ni dharau kuwaambia watu wanaohusika na maisha ya wagonjwa!
 
Ukimwaga mboga na mwaga ugali ngoma inogile hotuba ya jana ukiangalia body language ya jk unajua kabisa ni muongo kila kitu longolongo serikali haina hela are you joking na zile mabilion ya kila wizara zilizoiba zimeenda wapi wale mawaziri wakina ngeleja wameiba hela wamebaki nazo mawaziri wote marafiki zake anawalinda ipo siku all this pain will go away freeedom is coming
 
Nilishatoa wazo langu la kumuomba Dr.H.Kigwangwala amuombe spika hata kumbembeleza sababu wanatoka chama kimoja labda anaweza kuelewa ili aweke ripoti ya Margareth Sitta kwa ukumbi watu waijadili,ili tuone mbivu na mbichi,tukishapta hilo then tuone je tumalaumu daktari au serikali yetu sikivu? Sasa baada ya kumfanyia uharamia daktari huyu naye weza kumwita mtoto kulingana na umri wake mdogo ,je mgomo umeisha?
Wanasema Think before you lip
 
Waliozoea kukwea daladala za mbagala utawajua tu, wenzio tunanajadili hoja ya msingi we unawahi siti?
 
This might be the start of many and possibly the end days of the Corrupt,Fisadilized government of CCM!!

Why not reducing the costs of running the government,especially the un-necessary poshos,and why not accuse all leaders involved in great scandals that have costed the Nation and bankrupt them and use the money obtained to strengthen important sectors like Health? Its a truth that our hospitals are in worse conditions. AND Why not speak with the doctors and offer them a significant increase,not necessarily exactly what they want! Most of them are highly educated and I do believe they will accept rather than the use of force and harsh decisions!

You may have a point but not to our leaders ! They think they are always right and no one can tell them anything.
 
Back
Top Bottom