Madaktari bingwa Muhimbili Watangaza mgomo rasmi

Wanachonifurahisha hapa ni "sababu ya kugoma" Wengine " wakati ma dr wakawaida wanadai maslai bora specialist wao aaah "hatuwezi kufanya kazi peke yetu" kwa hiyo wakiletewa watu watafanya sio

Siyo wakaokote watu Tandika wawapeleke pale, wanatakiwa watu wanaotambulika, waliokula kiapo na waliofuzu ujuzi katika uuguzi.
 
Breaking news ITV

Ni kwa sababu

1. wameelemewa na mzigo na pia hawawezi kufanya kazi bila madaktari registra na interns
2. hotuba ya Rais iliyopotosha ukweli wa majadiliano na hali halisi ya utoaji huduma
3. Rais kuonekana kutokujua hali halisi ya utoaji huduma za afya tanzania

haya sasa, kazi kweli kuwa na serikali yenye watu vilaza, wanafikiria mambo ya kisanii tu.
 
Walimu nao wanaelekea kugoma, wahadhri wao wanajikongoja japo nao hali mbaya isipokuwa hawana chama chakuwasemea nao hali ngumu kodi kibao, wanakuwa promoted hwalipwi kama walivyokuwa promoted
 
What next? Ma-nurse?

Busara ya Spika ingeweza kusaidia sana kuepusha balaa linalotunyemelea watanzania sasa hivi.

Ushauri wangu kwa wabunge na hasa wale wa CCM someni alama za nyakati, tatueni hili tatizo kwa mbinu zinazokubalika kwa watanzania wa sasa. Report ya kamati ya huduma ya jamii iwekwe hadharani na bunge lijadili. Mchezo wa kuegemea mahakama utawagharibu sana. Tumieni akili kama watu wazima na mtatue matatizo ya msingi na sio kulamisha mambo kwa mgongo wa mahakama. Watanzania wamechoka na maisha magumu.
 
Huku tunakoelekea sio kuzuri hata kidogo....Kilichobakia ni watu kujitoa muhanga wajue hawana wa kuwatetea wapo wenyewe kama kifaranga cha kuku kilichotelekezwa na mamaye kichakani
 
Wakati tunajadili haya yote! Tuna wafikiriaje wagonjwa waliopoteza maisha yao kutokana na huu mgomo? Au madaktari ndio wenye haki ya kuamua watu waishi au lah! Wakati tunampa pole ulimboka, tukumbuke kuna waliokufa pia. Mungu na azirehemu roho zao watu hawa wasio na mtetezi.

Edwini Chitage katibu wa jumuiya madaktari.


Madaktari bigwa wagoma rasmi wamesema hawawezi kufanya kazi peke yao na wako tayari kwa lolote na wamesema liwalo na liwe. Hatuwezi kufanya kazi katika mazingira haya hatarishi na magumu

Wamedai Rais kapotosha umma na wamehoji iweje rais asikilize hoja za upande mmoja?

Kwa habari zilizopo wagonjwa hakuna na waliopo wodini wametelekezwa
 
Wagombanapo mafahari wawili, tunaoumia ni nyasi (yani: wapigakura tulio wengi sisi watanzania wanyonge).
 
Wakati tunajadili haya yote! Tuna wafikiriaje wagonjwa waliopoteza maisha yao kutokana na huu mgomo? Au madaktari ndio wenye haki ya kuamua watu waishi au lah! Wakati tunampa pole ulimboka, tukumbuke kuna waliokufa pia. Mungu na azirehemu roho zao watu hawa wasio na mtetezi.

Lawama tunazielekeza kwa mwajiri wa madaktari (serikali) ambaye sisi wananchi tumemwajiri na tunampa pesa (kodi)atuhakikishie uwepo wa huduma bora za afya. Kama hawezi kutatua matatizo na waajiriwa (madaktari) wake ni bora akatangaza kushindwa kazi ili tuajiri mwajiri mwingine wa madaktari atakayeweza hiyo kazi.
 
Wananchi tuwe tayari kuitumikia kauli ya Pinda nayo ni hii,nanukuu:LIWALO NA LIWE,mwisho wa kunukuu.

Msihofu ukombozi huwa unapatikana kwa nkupita njia hii hii.na ukifa kipindi hiki kwa sababu ya mgomo au athari zingine zitakazotokea kwa sababu ya mgomo basi utakuwa ni shujaa,maana utakuwa umepigania haki inayominywa na wachache walijimilikisha nchi,tuwatie moyo madktari wetu kama watakuwa wame-side kuongoza mapambano ya ukombozi wa nchi hii kutoka kwa mkoloni mweusi.
 
This might be the start of many and possibly the end days of the Corrupt,Fisadilized government of CCM!!

Why not reducing the costs of running the government,especially the un-necessary poshos,and why not accuse all leaders involved in great scandals that have costed the Nation and bankrupt them and use the money obtained to strengthen important sectors like Health? Its a truth that our hospitals are in worse conditions. AND Why not speak with the doctors and offer them a significant increase,not necessarily exactly what they want! Most of them are highly educated and I do believe they will accept rather than the use of force and harsh decisions!
 
Huku tunakoelekea sio kuzuri hata kidogo....Kilichobakia ni watu kujitoa muhanga wajue hawana wa kuwatetea wapo wenyewe kama kifaranga cha kuku kilichotelekezwa na mamaye kichakani

Haya yote yanasababishwa na kuwepo madarakani kwa Serikali DHAIFU...eti wenyewe wanajiita Serikali sikivu!!!!:confused2:
 
Back
Top Bottom