BornTown
JF-Expert Member
- May 7, 2008
- 1,716
- 481
Nawaunga mkono madaktari! kwani haliza wodi zetu hazifai ukiingia wodini wagonjwa hadi sakafuni wamelala sasa hebu fikiria daktari anafanya kuruka watu na wakati mwingine amkanyage mtu kwa bahati mbaya ndipo amfikie mgonjwa, kumbuka mgonjwa amelala sakafuni anataka atibiwe daktari anamtibuje mgonjwa.
Ukiingia wodi za kina mama wanaotaka kujifungua hali ni ileile wanalala chini daktari anamuangaliaje huyu mama sakafuni kumpima kujua njia imefunguka kiasi gani ili aweze kumuungiza chumba cha kujifungulia???
Ulimboka na wenzake wanadai mazingira mazuri ya kufanyia kazi ila serikali yetu dhaifu inaingiza huu mgomo wa kuwa ni posho za madaktari haitaki kusema ukweli na haitaki kuwa wazi, Serikali inapotosha ukweli hapo ndipo inapowakera madaktari.
Mimi binafsi natibiwa muhimbili najua hali halisi ya pale, nimehsatibiwa mwananyamala hivyo serikali iwe wazi iseme kweli