Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo

speacilists at MNH -TOTAL TOOLS DOWN,Watamtibu mgonjwa mmoja tu-jemedari ulimboka stephen.

Meningitis,ni habari ya kweli?maana mgomo wa madaktari sio kitu cha mzaha,na hapa ulipofikia kiasi cha kuteka mtu na kumpiga,kumfanyia unyama wa kila aina, eti tu kwa sababu mnapingana kimtizamo katika kuboresha huduma za afya,katika kuleta mapindizu ktk sector ya afya,mapinduzi yenye tija kwa wananchi,hasa walio na kipato cha chini na kati,leo hii watu wanadiriki kufanya hayo,ni mambo yasiyokubalika hata kidogo,nayalaani sana matendo haya ya kinyama.

Sasa hii habarai kama ni ya kweli kwangu mimi ni habari njema sana,tena sana,naomba hata wauuguzi na manesi waeweke tool down nawenyewe ili bunduki na ufisadi wao ukatibu watu hospitalini.uongo wa serikali,propaganda na maovu yote tumechoka,na ndio maana nasema taarifa hii iwe ya kweli.
 
Natafuta link ya kuniwezesha kusikiliza bunge online, naomba unisaidie hata kwa PM itakua sawa au jibu hapa hapa na wengine wapate, kulikua na ile ya arusha lakini nimeisahau
 
Hao madaktari wahukumiwe kifo kwa kila mgonjwa atae kufa kuanzia amri ya mahakama ya kuwata warudi kazini ilipotolewa.
 
Hao madaktari wahukumiwe kifo kwa kila mgonjwa atae kufa kuanzia amri ya mahakama ya kuwata warudi kazini ilipotolewa.

zomba, wapi zinapatikana kozi nzuri za diplomasia na propaganda maana nilitegema haya mambo yangeweza kuwa contained
 
Bravooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!! Safi sana mabingwa wote naomba isiwe muhi2 pekeyake mgomo uwe wa nchi nzima eeh "liwalo na liwe" kama mbwai mbawimbwai tu ....
 
Back
Top Bottom