Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo rasmi

madaktari mkikosa umoja madai yenu yatapuuzwa" Dr ulimboka natimu yako toeni elimu kwamadaktari hasa waliopo mikoani ili wajue thamani yao kwani madai yenu yanaumuhimu sana.... taifa lilipofika kila taasisi Inapaswa kupigania haki zake jifunzeni kwajamaa wa mjengoni walivyo na umoja kwenye Ishu ya posho mpya? wananchi tunateseka lkn tunawaunga mkono kwani madai yenu yataleta usawa ktk mfumo wa maslahi kwa watumishi wa uma,madaktari eleweni sio kila taasisi/Idara Inaweza kugoma hata kama watumishi wake wanamaisha magumu kuliko yenu? kwenye sakata la Jairo tuliona baadhi yawanasiasa wamesaini posho ya milioni 4 kwasiku je' watawala wanafikili JWTZ wafurahia posho ya sh 215000 au askari polisi wanafurahia 100000 kwa mwezi? amkeni madaktari umoja wenu ndio siraha mnayopaswa kutumia ktk vita hii mnayopigana.
 
JK mwenyewe kawaogopa madaktari. Hii nchi bila kutunisha misuli hakitaeleweka.
 
So sad news,anyway naona msafara wa JK ndo unatoka jijini Mwanza kuelekea eapoti tayari kwa kurudi Dar nazani anaweza kwenda mojakwamoja Muhimbili kuteta na hawa maspesholist.


msimtegemee huyo kutatua matatizo ya nchi......hana lolote huyo na ni wa kuondoa hapo
 
Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ana uzito wake kuwepo nchini, Mbowe yuko USA badala ya kushughulikia mgomo wa madaktari kwa upande wa upinzani kapanda ndege na kuondoka. Viongozi wa nchi hii ni waajabu sana wanakimbia matatizo.

@Raia Mwema, kwenye ile thread nyingine unakataa kuwa hakuna mgomo wa ma-specialist Muhimbili. Sasa hapa unataka Mbowe ashughulikie mgomo (upi?). But let me tell how Mbowe can solve this problem, vacate magogoni and take your 'dear waziris' with you, let wazee wa kazi-CHADEMA in. Baada ya siku (90) kama mgomo bado upo basi ulete haya madai hapa.

Hii kulia kulia kwamba unataka Mbowe atatue mgomo wa madaktari wakati serikali ya ccm ndio inakusanya kodi ni utani usiokubalika. Muda wa kuchezeana akili umepita, timizeni ahadi zenu.
 
Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ana uzito wake kuwepo nchini, Mbowe yuko USA badala ya kushughulikia mgomo wa madaktari kwa upande wa upinzani kapanda ndege na kuondoka. Viongozi wa nchi hii ni waajabu sana wanakimbia matatizo.

Hajamzidi ******! JK noma, kesho kuna nchi ataenda kula raha na kubembea na kuna uwezekano akakutana na celebrity kadhaa na kupiga nao picha.
 
Watu wengine sijui wanamaslahi gani na hili, wakati hali ni mbaya mwingine anakazana kukanusha sijui anafikiri mhimbili ni uchaguzi mdogo.
 
So sad news,anyway naona msafara wa JK ndo unatoka jijini Mwanza kuelekea eapoti tayari kwa kurudi Dar nazani anaweza kwenda mojakwamoja Muhimbili kuteta na hawa maspesholist.

Taarifanilizoskia ni kwamba Rais leo anatarajiwa Dodoma kuzungumza na wabunge wake maana wamemtunishia msuli kwenye muswada wa marekebisho ya katiba kisa kakataa kuidhinisha posho mpya za vikao!
 
Kutokana na mgomo wa madaktari na manesi ambao hauleweki utaisha lini nashauri serikali iajiri madaktari na manesi toka nje ya nchi.Inaweza wapata madaktari kibao toka nchi kama cuba na china.Pia waweza pata manesi wengi tu toka nchi kama uganda. kenya,Africa kusini na zimbabwe wako wengi wamesomea unesi na wapo tu mitaani hawana ajira za kueleweka na waweza fanya kazi kwa mishahara ya sasa kwa furaha kubwa mno na kwa ufanisi mkubwa.

Kama serikali haina hela ya kuajiri hao madaktari toka nje iombe mkopo toka nchi hizo zitakazoleta madaktari hao.Madaktari toka nchi hizo waweza kubali kulipwa hata nusu ya mishahara wanayolipwa madaktari wazawa kwa sasa.

Hiki ni kipindi cha utandawazi daktari akiona kazi hiyo hailipi Tanzania aweza enda nchi nyingine na serikali ikiona haiwezi lipa madai ya madaktari wazawa yaweza enda tafuta madaktari wa bei nafuu nchi nyingine kuliko kuacha watu wawe wanakufa hovyo mahospitalini.Nadhani ni wakati muafaka serikali kufikiria hilo.
 
kweli!!! Maneno ya baba wa taifa yametimia sasa kwamba "Ikulu ni mahala patakatifu, si pa kukimbilia". Huu mgomo wa madaktari lazima uondoke na mtu.
 
nguvu ya taifa inapotea mana watu kibao wanakufa.....madaktari lazima watekelezewe madai yao...l msingi hapa ni kumuondoa huyo rais hapo...fanyeni hivyo ili apotee kabisa......mtu gani hataki kusikiliz wananchi wake!! ..
 
tumie mwanya wa mgomo wa madaktari mumuondoe huyo rais marakani............yeye mwenyewe amekri kuwa nchi haina pesa ndio maana anazunguka zunguka tu.....timueni huyo mtu
 
Back
Top Bottom