Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo rasmi

this saga has to end now!!! Either a nationwide super strike, or back to work

and i am still shocked on how our government still plays a "sissy" on such a serious matter

their fall at door.....
 
bado ni habari nyepesi nyepesi haina nyama ya kutosha na hasa kama imetolewa kwa malengo ya kisiasa
 
Jana kashindwa kusema chochote kuhusu madaktari kaongea siasa tu, huyu mtu kweli nchi imemshinda maana kuna vitu vya msingi anaviacha anakusanya watu wasio na viatu kuwalisha wali na nyama kirumba, matokeo yake wamewatelekeza mwanza bila kuwarudisha kwao. Jk nchi imekushinda just say that watu warudi kwenye drawing board
 
Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ana uzito wake kuwepo nchini, Mbowe yuko USA badala ya kushughulikia mgomo wa madaktari kwa upande wa upinzani kapanda ndege na kuondoka. Viongozi wa nchi hii ni waajabu sana wanakimbia matatizo.
 
Aongee nini wakati bunge limeunda timu ya kuwakutanisha pande mbili. Kumbuka Rais akianza kuongea kwa sasa ndio itakuwa kauli ya serikali.....tusubiri kamati ya bunge ije na majibu ya pande zote mbili.
 
Nafikiri Rais hana nafasi tena hapo kwani tayari muhimili mwingine wa Bunge umesha ingilia suala hili. Kamati ya Mama Sitta ndiyo yenye nafasi kumaliza suala hili.

Tuombe heri itawale shari na suluhu ipatikane haraka kwa faida ya wote
 
hii movie sijui itakswishwa lini.
kikwete ni kama kopo la maji machafu lilitupwa jalalalni. kwanini Mungu ametupatia janga hili la huyu jk?
 
So sad news,anyway naona msafara wa JK ndo unatoka jijini Mwanza kuelekea eapoti tayari kwa kurudi Dar nazani anaweza kwenda mojakwamoja Muhimbili kuteta na hawa maspesholist.

Lilikuwa linafanya nini huko muda wote huu wakati sherehe zimeshaisha jana??
 
Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ana uzito wake kuwepo nchini, Mbowe yuko USA badala ya kushughulikia mgomo wa madaktari kwa upande wa upinzani kapanda ndege na kuondoka. Viongozi wa nchi hii ni waajabu sana wanakimbia matatizo.
Unastahili kwa malipo unayolipwa kwa siku,Embu mwambie kakayo Jakaya akicheza na hili la madaktari majibu yake atayaona,ukweli anaweza kwenda nalo hata kama wamekula njama na vyombo vya habari wasitoe taarifa kwa umma
 
Fundi mchundo wa TANESCO analipwa vizuri kuliko hawa madaktari bingwa, na baada ya utumishi wa muda fulani, fundi mchundo huyo anapewa incentive tani nzima ya sementi na mabati akajenge, huu si ubaguzi na dharau kwa wataalamu wetu kama ma-Doctor?
 
So sad news,anyway naona msafara wa JK ndo unatoka jijini Mwanza kuelekea eapoti tayari kwa kurudi Dar nazani anaweza kwenda mojakwamoja Muhimbili kuteta na hawa maspesholist.

wamechelewa kugoma aende kuonana nao ili iweje? Madaktari bingwa ni kundi la mafisadi katika sekta ya tiba ndio maana wanaanza mgomo leo.
 
tutakoma na serikali legelege híii kila siku jambo jipya na hakuna lenye kutatuliwa huko bungeni hali tete miswada ya bunge haipiti.dalili mbaya.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom