Madakatari eleweni "a war is a series of small battles"

WATANABE

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
1,092
466
Mimi nikiwa ni mtu mwenye umri wa miaka 46 sasa nachukua fursa hii kukipongeza kizazi kipya (vijana) madaktari wetu ambao wameonyesha ujasiri wa hali ya juu kuandaa na kufanikisha mgomo wa madaktari kwa lengo la kuishinikiza serikali ya Tanzania kujali zaidi seka ya afya kwa kuboresha mazingira ya utolewaji wa tiba hapa nchini pamoja na maslahi ya wafanyakazi wa sekta hiyo.

Huko nyuma wazee wetu madaktari, kutokana na kugubikw ana woga wa kudai haki zao waliamua kukimbia nchi mmoja mmoja na kuwaacha watanzania bila huduma za afya.

Natambua kuwa Serikali imetumia nguvu kubwa mno kuzima mgomo huu ikiwemo kutumia idara yake ya usalama na vyombo vya habari ambavyo vingi vinajulikana wazi kuwa vinamilikiwa na makada wa CCM kupandikiza chuki kati ya wananchi na madaktari hali ambayo iliwaogofya madaktari wengi kiasi cha kuwafanya wengi wao kukosa ujasiri wa kuendeleza madai yao.

Kwa kuwa madakatari wengi si mabingwa wa siasa hususan kujieleza katika majukwa na vyombo vya habari kama walivyo mabingwa kati fani zao, ni dhahiri katika mazingira ya propaganda kali zilizokuwepo wakati huo; waandishi na vyombo vya habari vilivyonunuliwa kirahisi vilitumika kuusadikisha umma kuwa madakatari walikuwa wakikiuka haki za binadamu kwa kugoma na kuwaacha wagonjwa wakipoteza maisha.

Cha kusikitisha waandashi na vyombo vya habari vilivyonunuliwa hawakuyapa uzito madai ya madaktari kuwa wamechoka kuwashuhudia mamia ya watanzania wenzao wakipoteza maisha kila siku iendayo kwa mungu kwa sababu ya kukosekana vifaa vya tiba, madawa na wauguzi wa kutosha. Madakatari walidai hufikia wakati hulazimika kutoa fedha zao mfukoni kuwapatia ndugu wa wagonjwa kununua baadhi ya vifaa vinavyoweza kuokoa maisha ya wagonjwa. Ni watanzania wagapi walikuwa wanafahamua haya kabla ya minyukano ya madakatari vijana na serikali?

Technically, walichokuwa wakipungukiwa wasemaji wa madaktari katika fursa chache walizopata ni kutoanisha vya kutosha kiasi cha kumfanya mtanzania wa kawaida kuelewa pasipo shaka yoyote gharama ya vifaa vinavyokosekana na kusababisha mamia ya masiha ya watanzania kupotea kila mwezi na malipo ya posho za wanasiasa, watendaji wakuu wa serikali na viongozi; mashangingi ya serikali, na gharama mbali mbali za anasa za serikali.

kama alivyowahi kusema Sir Winston Churchhill "A war is a series of small battles, where victory can go either side". Ni dhahiri kuwa katika minyukano midogo midogo madkatari waliweza kuigaragaza serikali mara kadhaa na inawezekana serikali ikawa imefanikiwa kuuigaragaza mshikamano wa madkatari katika mnyukano wa mwisho. Wakati Rasi JK akiahidi Serikali itachukua hatua kurekebisha waliyokubalina na madaktari.

Madaktari wanatakiwa kuwa makini kuwa vita waliyoianzisha haijaisha, hivyo wanatakiwa nao kuchukua hatua kadhaa ili kuhakikisha wanazishinda njama zote za usalama wa taifa kuwagawa na kuwadhoofisha.

Madkatari vijana wanatakiwa kuongeza uwazi katika kutekeleza majukumu yao tofauti na madakatari wazee ambao wamekuwa wakificha udhaifu wa serikali wa kutozipatia hospitali, vituo vya afya na zahanati vifa vya tiba, madawa ,madakatari na wauguzi vya kutosha kuokoa maisha ya watanzania. Ifahamike wazi kuwa ipo idadi ya vifaa vya tiba, madawa, madaktari na wauguzi wanaotakiwa kuko maisha ya watanzania na ambao Serikali iliyoko madarakani ilijigamba wakati wa kampeni kuweza kumudu jukumu hilo. Hivyo basi kufanya tofauti baada ya kuingia madarakani ni kwenda kinyume cha ahadi kunkopelekea watanzania kupoteza maisha; na wenye uwezo wa kuto taarifa hizo ni madkatari tu.

Kuanzia sasa madakatari vijana wanatakiwa kuweka wazi idadi ya watanzania wanaopoteza maisha kwa kukosekana kwa vifaa vya tiba, madawa, madakatari na wauguzi hata kama ni kwa kutumia mitandao kama maadili dhalimu ya fani hiyo yaliyowekwa na madkatari wazee hayaruhusu.

Kuweka wazi mapema udhaifu wa serikali katika utoaji wa vifaa vya tiba , madawa, madakatari, wauguzi n.k kwa hospitali, vituo vya afya na zahanati tofauti na ahadi zinazotolewa wakati wa kampeni kutasaidia wananchi kujua idadi ya watanzania wanaopoteza maisha na ambao wangeweza kuokolewa.

Taarifa za aina hii zitasaidia sana wananchi kufanya maamuzi wakati wa mnyukano mwingine kati ya madaktari na Serikali baada ya Rais na Serikali kushindwa kutimiza ahadi zao kama ilivyoanza kujionyesha katika hotuba ya Rais Jk kwa wazee wa DSM
 
Sawa Mkuu!
I like this analysis. Safari moja huanzisha nyingine. This is only the beginning Mapamabano yataendelea mpaka kieleweke. Juha Kalulu is not smart yaani Jakaya anazungumza na Wazee CCm and looking at the way they were smiling hawana uwezo kumwuliza swali JK angekuwa kichwani kuna kitu zaidi ya Ngono angetinga newsroom au pale Mlimani City Vitoto vya Chuo Vingemtoa kamasi kuongea na hivyo vibaraka shehe vya Dar is equally time wasted and as long as hakuna Q&A he can talk a lot of rubbish. Swali? Hivi Wazee wako Dar es salaam tu this is incredible! Madoc changanya madawa next strike tutwatoa Ccm ikulu silaha yenu akija mtu kavaa nguo ya kijani hata Kama ni Young African fan choma dawa ikafie mbali especially watu wa TBC na Ikulu wanasmshauri vibaya huyu mtu wa kutoka Msoga village! Aluta continua!
 
Back
Top Bottom