The Analyst
JF-Expert Member
- Feb 26, 2011
- 464
- 246
Watu badala ya kujadil mada mnajadil vitu vya ajabu... Unahesabu nyumba za ibada halafu hutak kujua waumin wangap huingia humo huo si ujnga? Nchi kama uingereza,marekan,kenya,ethiopia ktk sensa zao kipo kipengele cha dini umeshasikia watu wamekufa huko kwa sbb ya sensa? achen upuuz..Eti wasio na din itakuaje? wakat hyo serikal imepanga sensa ikaweka dodoso la nyumba za ibada je.! wapagan wana nyumba za ibada? huon serikal ina maanisha waislam na wakristo tu....WAISLAM MSIMAMO UPO PALE PALE HAKUNA KUSHIRIK
Tafakari maswali haya halafu uniambie utamshauri vipi mtu anayeweza kudai haki yake kwa kuuliza maswali haya:-
- Mbona wahasibu wengi ni dini/kabila X?
- Kwa nini maprofesa wengi wa sheria ni kabila/dini au madhehebu Y?
- Kwa nini wakazi wengi wa nchi, mkoa, mtaa au kitongoji X ni waumini wa dini fulani?
- Mbona mahakimu wengi ni waumini wa dini X?
- Mbona wasanii wa Bongo Flavour wanao-hit zaidi ni waumini wa dini X?
- Kama dini Y hawapendelewi inakuwaje wengi wao ndiyo wanasajiliwa na klabu kubwa za soka na kwa dau kubwa.
- Kama sensa haina udini kwa nini inahesabu watu ambao wana dini zao?
I'm religious enough lakini nathubutu kusema dini bila kuwa na elimu nzuri ya dunia inakunyima uwezo wa kupambanua mambo, na matokeo yake hutaishi kwa furaha hapa duniani na hata huko peponi hutaenda kwa kuwa hata basics za dini yako zitakupita kwa sababu ya mapepe ya bifu za kidini. Hujasikia muisilam anamwita Mkristu kafir kwa kuamini Yesu kuwa mwana wa Mungu wakati huo huo kavaa au kamvalisha mwanaye hirizi (ili kumkinga na wachawi) aliyoipata kwa mganga wa kienyeji anayetumia nguvu za mizimu au majini? Mtu huyu kwa nini asitumie nguvu ya kiimani kukwepa shirk na akishaongoka ndipo aangalie dini nyingine wanamkosea vipi Mwenyezi Mungu?
Wewe unadhani ni jambo gani katika sensa ambalo haliwezi kutengenezewa swali lenye kuleta utata? Kuna watu wanauliza kwa nini watu wanataka kujua walipozaliwa, kiwango chao cha elimu na kadhalika. Utawaambia vipi hao? Don't be stupid guys?