Shalom
JF-Expert Member
- Jun 17, 2007
- 1,315
- 124
Habari ni hivi jamani. Makongoro na group yake waliweka objection 3. Objection mbili jaji amezikataa straight na zimewekwa kapuni na objection moja jaji ameona kuwa ni valid. Na hili jambo ni la kawaida sana kwa shughuri za mahakama. Jambo lenyewe alilikataa jaji utaona ni faida kwa mlalamikaji kuliko makongoro. jaji ametoa mpaka tarehe 14 kufaili another petion na maamuzi yataolewa tarehe 22 ambao siku ya hearing itapangwa. Hii kesi ni ya upande mmoja tu hata kinana alipokuwa anamlazimisha mkurugenzi wa jimbo atangaze ushidi kwa makongoro alisema kuwa wewe mtangaze tu hata kama atakwenda kushindwa mahakamani.