Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,266
- 4,716
.Mwema alipigiwa simu na fisadi mwenye ishu kwamba deal imebumbuluka.
pole zake mengi maana kama niwajuavyo polisi wanaweza kumchinjia baharini
Kwa hiyo mwema alishirikishwa kuandaa mtego ili kumunasa mtoto wa Mengi?!. Tuletee hiyo link ya simu (mazungumzo kati ya fisadi na Mwema) tuone walizungumza nini. Pesronally naanza kuona uongo ndani ya whole story. Isije ikawa media house ilitaka kuuza magazeti maana hii ndo njia ya kuongeza mauzo.