MADAI: Wanaume wa Tanzania Bara Hawana Mapenzi Kama Wanaume wa Zanzibar"Baby J"

Ila hii ni kweli. Wanaume wa bara wanataka kuonja tu! Huku kwetu zenj unakutana na mkaka kwa dadake leo, next week mahari mwezi unaofuata ndoa. Ila mind you, naongelea ndoa na sio mapenzi eeh.

Baada ya mwaka analeta mke wa pili na watatu.
 
mwacheni aendelee na madai yake maadam hanidai waaaallaaaa hainisumbui ng'ooo
 
naona ujapata funzo pamoja na kamanda sharobaro kukuachia funzo.

AAaaaaah mtu mzima hatishiwi nyau mkuu.......................!
Funzo nililolipata ni kutembea na ma bodyguard hata wakati wa ku-do wenyewe wanakulinda tu.................!
 
Ni kweli wengi wao hawajui wanarukaruka tu, na wanasema mwanamke ni mwanamke kwao hakuna spesho! ni wachache sana wanaojua kupenda
 
Jirekebise?
Wapi nime sema wa zanzibar sio watanzani? Hebu onesha!
Angalia habari na usome kwa makini na hili swali muulize yeye aliye ongea!



KWAN WAZANZIBAR SIO WATANZANIA jirekebise ndo nyie hayati baba wa taifa hawataki
 
Back
Top Bottom