MADAI: Wanaume wa Tanzania Bara Hawana Mapenzi Kama Wanaume wa Zanzibar"Baby J"

huyu demu nampenda sana. Unaona vijana wa bara mlivyo peperusha njiwa wangu?. mia
 
Angalau Angeeleweka kama angekuwa na ushahidi wa kuwa na mwanaume anayependana nae atokae huko. pili athibitishe kuwa huko hakuna matatizo yatokanayo na mahusiano ya kimapenzi

Ila kwa kweli Mkuu dancani mastaa ni pasua kichwa sana.
Ila wanapenda sana maisha rahisi.
 
Last edited by a moderator:
ok shosti Madame B nimekupata, sasa kama ni kweli kwanini hawataki kulifanyia kazi hlo swala au ndo ile tabia ya watz kutokujali na kutake advantage?

Ila kwa kweli tunawasakama tu mastaa,
wanaume wa KiTZ ni pasua vichwa sana,
na hawataki kutibu tatizo kwa madai kuwa tutawapanda vichani.
Wakati si kweli.
 
Last edited by a moderator:
labda alichezewa na mimi mkuu, manake huwa sina tabia ya kuweka kambi. Nikila mzigo tu, nasepa kama mwewe hahaaaaaaaa!
Wanawake jihadharini na Mungi siyo mpenzi wa dhati kabisa!

kamanda hapo nimekubali...maana inaonekana kachezewa si mara moja tu na ndio maana kafikia hiyo conclusion.
 
Ni kweli kbs kuwa wanaume wa bara hawana mapenzi kbs.
Nadhani inatokana na uwingi wa wanawake tuliopo.
Ila Wanaume wenyewe wanabisha sijui kwa nini.
Na si kwa mastaa tu,hata madada wasio mastaa wanalalamika sana kuhusu upendo wa wanaume wa Kitanzania kuwa F+ kwa wanawake wao.

ninachofahamu ni kuwa Wanawake wa Unguja wanayajua mapenzi kuliko Wanawake wa Bara, kwa upande wa wanaume huku Bara ni ngumu kufanya conclusion kwa kuwa makabila ni mengi hivyo kuna cultural diversity....yapo makabila wanaume lazima wawadunde wanawake wakati huo huo kuna makabila wanaume wanyenyekevu hadi katerero huombwa kwa kupiga magoti...
 
huyu demu nampenda sana. Unaona vijana wa bara mlivyo peperusha njiwa wangu?. mia

Hivi huyu ndio yule dada kashirikishwa kwenye shooting ya Berry Black ya wimbo wa;
"Mpenzi wangu mi bado nakupenda,
nitakupa kila kitu unachopenda,
hata kama majirani wanachonga...."
 
ninachofahamu ni kuwa Wanawake wa Unguja wanayajua mapenzi kuliko Wanawake wa Bara, kwa upande wa wanaume huku Bara ni ngumu kufanya conclusion kwa kuwa makabila ni mengi hivyo kuna cultural diversity....yapo makabila wanaume lazima wawadunde wanawake wakati huo huo kuna makabila wanaume wanyenyekevu hadi katerero huombwa kwa kupiga magoti...

Kwa hyo Mnakiri maneno yake?
 
Ila hii ni kweli. Wanaume wa bara wanataka kuonja tu! Huku kwetu zenj unakutana na mkaka kwa dadake leo, next week mahari mwezi unaofuata ndoa. Ila mind you, naongelea ndoa na sio mapenzi eeh.
 
Wana wake wa bara wana penda nini?

Ila hii ni kweli. Wanaume wa bara wanataka kuonja tu! Huku kwetu zenj unakutana na mkaka kwa dadake leo, next week mahari mwezi unaofuata ndoa. Ila mind you, naongelea ndoa na sio mapenzi eeh.
 
Huyu katendwa ndio maana ana lia! Kapigwa kibuti badala ya kujiuliza kwa nini ana lalamika!

Una weza kukuta yeye ndio ana tatizo, mbona kuna wasichana wa bara wana furahia mahusiano tu!
 
Hivi huyu ndio yule dada kashirikishwa kwenye shooting ya Berry Black ya wimbo wa; "Mpenzi wangu mi bado nakupenda, nitakupa kila kitu unachopenda,hata kama majirani wanachonga...."
yah! vilevile kashilikishwa kwenye wimbo wa shala mwana. mia
 
ni kwa baadhi ya wanaume, sidhani kama kakutana na gentleman kama watu8, mbona visiwani asingerudi

Kwa kauli yako hyo unamaanisha kuwa measkron hajakosea kuwa na wewe?
Na sisi wa nje tutathibitishaje?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom