Madadapoa wapanga kuandamana ijumaa kupinga unyanyasaji wa serikali kwa ma dk;kutoa bure

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Katika yale yanaoonyesha sasa kumekucha
wale madada zetu wanaokuwepo kwenye bar mbali mbali kwa ajili ya kuhtimisha hamu za kaka zetu
wa aina mbali mbali sasa wamepanga kuandamana wakianzia salenda kwenda wizara ya afya kulalamika unyanyasaji wa serikali kwa ma dk..katika kuhakikisha hili limewagusa mwenyekiti wa madadapoa heney sakiwa wamepanga kutoa bure baada ya kufika wizarana na kuonana na waziri husika na kinachotakiwa ni usafiri wako tu na si kingine

nahisi ikitokea taasisi zingine 5 zikaandamana akika akuna upuuzi serikali hii wataifanya
nawatakia kila la kheri katika mbinu mpya kuokoa jahazi hospitali zetu
 
sasa namna hii watu wakimisi vya bure si watakuwa wanagoma ili machangu watoe tena?au kama wanataka kumpa bure mpondwa wampe tu!
 
Back
Top Bottom