madada wa kibongo kwanini mko hivi??why?

na hilo hasa ndo tatizo la binadamu (wake kwa waume) tunaangalia sana mapungufu ya wengine tunajisahau wenyewe thinking we angels sent from heaven!!!

Jamaa yuko sawa sana, madada wengi mnaboa, njaa mmeweka mbele sana.
Sasa thamani ya utu wenu mmeweka rehani, sasa wengi mnaokunanao ni fugitives wamekiambia nchi zao kutafuta asylum bongo ni wapitaji, 70% of them ni waathirika wa HIV na almost all of them are night standers, Kwa mfano wengi wa east africa kama UG na KY 99% ni Magovi au kuna kasiri hapo madada zetu.
Acheni njaa.... Jishughulisheni mbona madada wezenu wengine wengi wameweza kujiheshimu, Kinachoboa zaidi mnawaharibu na wadada wengi wa shule...
NGOJA TUSUBIRI MOTO SIKU YA MWISHO
 
wakati mwingine bwana unakuta mdada ameshatendwaa weee anaona bora aangalia ustaarabu mwingine, wengi wa kaka zetu na nyie ni waongo sana/kutenda mtindo mmoja, mtu inabidi aangalie kwingine ati.
 
Jamaa yuko sawa sana, madada wengi mnaboa, njaa mmeweka mbele sana.
Sasa thamani ya utu wenu mmeweka rehani, sasa wengi mnaokunanao ni fugitives wamekiambia nchi zao kutafuta asylum bongo ni wapitaji, 70% of them ni waathirika wa HIV na almost all of them are night standers, Kwa mfano wengi wa east africa kama UG na KY 99% ni Magovi au kuna kasiri hapo madada zetu.
Acheni njaa.... Jishughulisheni mbona madada wezenu wengine wengi wameweza kujiheshimu, Kinachoboa zaidi mnawaharibu na wadada wengi wa shule...
NGOJA TUSUBIRI MOTO SIKU YA MWISHO

hee sio wote wanao date na hao watu bac wana njaa, "real love" bro, yaani ni kitendawili hiki kwa wengi wa kaka ze2,...talking about HIV bongo hamna?...kwani wana date kichwa kichwa kiac hicho?
 
Kwa mtu aliyesoma post yako ya kwanza ni vigumu kuamini kama ni wewe unayekuja na kauli hii. Kama huwahitaji sasa hii hadithi yote ya nini? Halafu sina hakika kama umetembelea nchi nyingine. Hali huwa kama hivi, mgeni anakuwa na mvuto fulani. Hebu achana nao kama huwahitaji na usiwasakame bure!
mbona unatetea sana upande mwingine mzee,kutembea nchi nyingine sio tatizo hata huko ni hayohayo tu nawaona wanavyofanya ni kama bongo tu,kwahiyo usidhani naongea kitu ambacho sina uhakika nacho,mi nawapenda kiurafiki zaidi,lakini mahusiano walishanishinda.
 
Jamaa yuko sawa sana, madada wengi mnaboa, njaa mmeweka mbele sana.
Sasa thamani ya utu wenu mmeweka rehani, sasa wengi mnaokunanao ni fugitives wamekiambia nchi zao kutafuta asylum bongo ni wapitaji, 70% of them ni waathirika wa HIV na almost all of them are night standers, Kwa mfano wengi wa east africa kama UG na KY 99% ni Magovi au kuna kasiri hapo madada zetu.
Acheni njaa.... Jishughulisheni mbona madada wezenu wengine wengi wameweza kujiheshimu, Kinachoboa zaidi mnawaharibu na wadada wengi wa shule...
NGOJA TUSUBIRI MOTO SIKU YA MWISHO

mi nakwambia hakuna cha mdada wa bongo wla nini hapa ngoma droo, kawaangalie wanume wenzio wanavoshoboka kwa foreigners......hapa bila bila

mmedanganywa sana, tumedanganywa sana and therefore tumedanganyana sana.

msipende kujiona nyie ndo mko sawa and we are wrong here. ukisikiliza experience ya kila jinsia kwenye haya mambo bwana hakuna wa kubebeshwa mzigo...

na hapo kwenye red we fataki???? jiangalie usije ukashukiwa kijana....

kwenye bluu sawa kabisa
 
Unajua kwa sababu gani? wale hawajui kona zao na ndugu zao. hivyo wanawapenda ili waweze kuwa chewat vizuri. Sisi wanatuogopa maana utafatilia kila nyendo zao. Hivyo ndo maana yake hiyo.
 
mbona unatetea sana upande mwingine mzee,kutembea nchi nyingine sio tatizo hata huko ni hayohayo tu nawaona wanavyofanya ni kama bongo tu,kwahiyo usidhani naongea kitu ambacho sina uhakika nacho,mi nawapenda kiurafiki zaidi,lakini mahusiano walishanishinda.

na mimi nikikwambia kimahusiano mlishanishinda nitakosea????

sidhani kama DC anatetea upande mmoja, hez tryn to be fair here.......(just like me)

nimekutana na wanaume walotendwa na wasichana wa kibongo na nimekutana na wasichana walotendwa na wanaume wa kibongo na mimi mwenyewe inclusive......

sioni sababu ya wasichana kulaumiwa hapa......we are all searching for true love basi...hatujui itazukia pande ipi ya dunia!!!
 
hawa sister zetu sijui vipi,unaweza kuta mtu wa maana unamfatilia kiukweli lakini anakuletea miyeyusho kibao,halafu sasa unakuja kuta kuna lofa mmoja either katoka congo,malawi,,burundi,zambia,nigeria ndio usiseme wanawaona kama wazungu, yaani popote almradi tu sio mtanzania,hata awe katoka kabul afghanistan poa tu,mbaya zaidi waweza sema anatafuta maslahi,unaweza kuta jamaa mwenyewe choka mbaya sana,lakini demu yuko tayari hata kufanya uchangu kwa majamaa mengine,ili tu aendelee kumpa gud tyme huyo huyo jamaa yake foreigner,dah mie hapo huwa ndio nashindwa kuwaelewa kabisa,so cheap stuff,kwanini mnafanya mambo haya lakini,naomba mtujibu pulizz.

Hahahaha usihangaike na demu wa Kibongo watakusingua, tafuta Nigerians, Cameroun’s, Ivory Coast....unajua mademu wa West Africa wanatuzimia sana waTanzania, wanadai tuna tender love and care! Ila kuwa makini na Credit cards, Visa card na Passport
 
Unajua kwa sababu gani? wale hawajui kona zao na ndugu zao. hivyo wanawapenda ili waweze kuwa chewat vizuri. Sisi wanatuogopa maana utafatilia kila nyendo zao. Hivyo ndo maana yake hiyo.

jamani, kwani na wewe ulikutana na me leo leo ukajua kila ki2 changu?....
 
mfano kuna rafiki yangu hapa namchukulia kama ndugu,ni mtu mzuri sana kwa kweli,sasa kinachonichosha alimpata jamaa mpopo kamapa pepa mpopo baada ya kurekebisha tu jamaa akakimbilia u.k.sasa ni mwaka wa saba huu,namuona huyu dada anavyohangaika kila siku na simu na mail kumshauri jamaa aje,jamaa kule kashaoa tena demu wa kwao nigeria na ndio yuko nae ndani ya nyumba u.k.dadaangu hapa analialia tu,jamaa akija ni baada ya miaka mitatu na anakaa wiki anatimua,na anakuja mkavu hana kitu sanasana huyu sister tena ndio anatumia hela yake kumuentertain,inachosha kweli
 
Hahahaha usihangaike na demu wa Kibongo watakusingua, tafuta Nigerians, Camerouns, Ivory Coast....unajua mademu wa West Africa wanatuzimia sana waTanzania, wanadai tuna tender love and care! Ila kuwa makini na Credit cards, Visa na Passport

yukkhh.....
 
ningekuwa simuogopi mzenj leo you would have owed me a drink.....
 
Hahahaha usihangaike na demu wa Kibongo watakusingua, tafuta Nigerians, Camerouns, Ivory Coast....unajua mademu wa West Africa wanatuzimia sana waTanzania, wanadai tuna tender love and care! Ila kuwa makini na Credit cards, Visa card na Passport
najua hawa wanatuzimia mkuu,mi huwa napoozea sana kwao,ila ndio hivyo nao mfuko inabidi uangalie,maana wako sana kimaslahi hata akupende vipi.
 
hawa sister zetu sijui vipi,unaweza kuta mtu wa maana unamfatilia kiukweli lakini anakuletea miyeyusho kibao,halafu sasa unakuja kuta kuna lofa mmoja either katoka congo,malawi,,burundi,zambia,nigeria ndio usiseme wanawaona kama wazungu, yaani popote almradi tu sio mtanzania,hata awe katoka kabul afghanistan poa tu,mbaya zaidi waweza sema anatafuta maslahi,unaweza kuta jamaa mwenyewe choka mbaya sana,lakini demu yuko tayari hata kufanya uchangu kwa majamaa mengine,ili tu aendelee kumpa gud tyme huyo huyo jamaa yake foreigner,dah mie hapo huwa ndio nashindwa kuwaelewa kabisa,so cheap stuff,kwanini mnafanya mambo haya lakini,naomba mtujibu pulizz.

Unaweza kutoa mfano hai ?
 
mfano kuna rafiki yangu hapa namchukulia kama ndugu,ni mtu mzuri sana kwa kweli,sasa kinachonichosha alimpata jamaa mpopo kamapa pepa mpopo baada ya kurekebisha tu jamaa akakimbilia u.k.sasa ni mwaka wa saba huu,namuona huyu dada anavyohangaika kila siku na simu na mail kumshauri jamaa aje,jamaa kule kashaoa tena demu wa kwao nigeria na ndio yuko nae ndani ya nyumba u.k.dadaangu hapa analialia tu,jamaa akija ni baada ya miaka mitatu na anakaa wiki anatimua,na anakuja mkavu hana kitu sanasana huyu sister tena ndio anatumia hela yake kumuentertain,inachosha kweli

sasa research moja usiniambie ndo ukadraw conclusion shem......

hakuna formula hapa bwana, ukimpata amabye u were meant for each other haya....hamna cha mmbongo wala mbrain.............
 
Chimu jaribuni kutuelewa, hamna asiyetaka mapenzi ya kweli hiii yote ni kutapatapa kumtafuta yule unayedhani ndo atakupa unachokitaka......and not otherwise!!!

Lkn kwa wageni mnakuwa UROJO mno, kuna jamaa flani wa sauzi walikwepo kwenye kampuni yetu, hawa jamaa waliwatafuna sana wadada wa kibongo mpaka ikawa ukienda mazoezini jamaa wanaponda kishenzi wanatuambia dada zenu wako very cheap, ukimwambia tu iam not a Tanzanian ushamega bila hata efforts zozote zile. Jamaa yao mmoja alikuwa na Mke na watoto huko sauzi, hapa bongo akakifumania ki dada kimoja hivi akakidanganya atakioa, dah alikuwa ana nata yule dada, tukienda mazoezini jamaa wanatuambia jamaa kwao ana mke na watoto, yule dada akimabiwa anamwaga matusi km maji ya bahari, ikafika siku jamaa mkataba wake wa kufanya kazi bongo ukaisha, hakutaka hata kumuaga yule dada akapotea tu. Yule dada masikini alikonda, alilia, na jamaa hakuwa na hiana alipofika sauzi akamtumia mail ya ku apologise na akamtumia picha ya family yake. demu alikoonda si mchezo.
 
Jamaa yuko sawa sana, madada wengi mnaboa, njaa mmeweka mbele sana.
Sasa thamani ya utu wenu mmeweka rehani, sasa wengi mnaokunanao ni fugitives wamekiambia nchi zao kutafuta asylum bongo ni wapitaji, 70% of them ni waathirika wa HIV na almost all of them are night standers, Kwa mfano wengi wa east africa kama UG na KY 99% ni Magovi au kuna kasiri hapo madada zetu.
Acheni njaa.... Jishughulisheni mbona madada wezenu wengine wengi wameweza kujiheshimu, Kinachoboa zaidi mnawaharibu na wadada wengi wa shule...
NGOJA TUSUBIRI MOTO SIKU YA MWISHO

Mkuu Kero, mbona sasa unataka kuwe kero kweli kweli? Hapa unamwongelea nani? Bht na nani? This is a kind of personal attack and you need to be careful.

Kwani hao wadada unaowaongelea wako chini ya miaka 18 kwamba hawawezi kufanya maamuzi? Na hizo allegations za ukimwi na uchafu mwingine zinatokea wapi? Kama mbaazi zimekosa maua basi zitafute sababu na si kila kitu kinatokana na jua. Nimekereka sana na comment zako ambazo zinawakosea heshima dada zetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom