madada wa kibongo kwanini mko hivi??why?

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
13,091
15,984
hawa sister zetu sijui vipi,unaweza kuta mtu wa maana unamfatilia kiukweli lakini anakuletea miyeyusho kibao,halafu sasa unakuja kuta kuna lofa mmoja either katoka congo,malawi,,burundi,zambia,nigeria ndio usiseme wanawaona kama wazungu, yaani popote almradi tu sio mtanzania,hata awe katoka kabul afghanistan poa tu,mbaya zaidi waweza sema anatafuta maslahi,unaweza kuta jamaa mwenyewe choka mbaya sana,lakini demu yuko tayari hata kufanya uchangu kwa majamaa mengine,ili tu aendelee kumpa gud tyme huyo huyo jamaa yake foreigner,dah mie hapo huwa ndio nashindwa kuwaelewa kabisa,so cheap stuff,kwanini mnafanya mambo haya lakini,naomba mtujibu pulizz.
 
BabuKijana uko sawa kabisaaaaa. dadazetu sijui wamerogwa na foreigners!!! hawakatai hata km huyo mtu huko anakotoka ni sawa na manzese lkn utasikia mdada anajisifu eti Msauzi yulee. aibu tupu wanaishia kudanganywa tu na kuachwa solemba hapa bongo
 
na nyie longolongo imezidi bana aaaah!!!
shem wewe shem!asa si mnavumilia,hao jamaa wenyewe nao si lolote wanatulia wakiwa wamechoka na wao ni longolongo tu wakizikamata.
 
BabuKijana uko sawa kabisaaaaa. dadazetu sijui wamerogwa na foreigners!!! hawakatai hata km huyo mtu huko anakotoka ni sawa na manzese lkn utasikia mdada anajisifu eti Msauzi yulee. aibu tupu wanaishia kudanganywa tu na kuachwa solemba hapa bongo
mkuu kuna mahali huwa nabakia kuwaangalia tu wanavyopotezwa,noma sana
 
hawa sister zetu sijui vipi,unaweza kuta mtu wa maana unamfatilia kiukweli lakini anakuletea miyeyusho kibao,halafu sasa unakuja kuta kuna lofa mmoja either katoka congo,malawi,,burundi,zambia,nigeria ndio usiseme wanawaona kama wazungu, yaani popote almradi tu sio mtanzania,hata awe katoka kabul afghanistan poa tu,mbaya zaidi waweza sema anatafuta maslahi,unaweza kuta jamaa mwenyewe choka mbaya sana,lakini demu yuko tayari hata kufanya uchangu kwa majamaa mengine,ili tu aendelee kumpa gud tyme huyo huyo jamaa yake foreigner,dah mie hapo huwa ndio nashindwa kuwaelewa kabisa,so cheap stuff,kwanini mnafanya mambo haya lakini,naomba mtujibu pulizz.

Hiyo hasira siyo bure! Endelea kujaribu bahati yako, ipo siku utakuna na wako. Hao siyo wako au wewe ndo una vituko zaidi yao!
 
BabuKijana uko sawa kabisaaaaa. dadazetu sijui wamerogwa na foreigners!!! hawakatai hata km huyo mtu huko anakotoka ni sawa na manzese lkn utasikia mdada anajisifu eti Msauzi yulee. aibu tupu wanaishia kudanganywa tu na kuachwa solemba hapa bongo

Chimu jaribuni kutuelewa, hamna asiyetaka mapenzi ya kweli hiii yote ni kutapatapa kumtafuta yule unayedhani ndo atakupa unachokitaka......and not otherwise!!!
 
Hiyo hasira siyo bure! Endelea kujaribu bahati yako, ipo siku utakuna na wako. Hao siyo wako au wewe ndo una vituko zaidi yao!
mkuu mi siwahitaji,ila huwa nawaona tu wanavyowashobokea hawa jamaa,yaani mpaka aibu kuona ni wabongo wenzio.
 
na hilo hasa ndo tatizo la binadamu (wake kwa waume) tunaangalia sana mapungufu ya wengine tunajisahau wenyewe thinking we angels sent from heaven!!!
 
hawa sister zetu sijui vipi,unaweza kuta mtu wa maana unamfatilia kiukweli lakini anakuletea miyeyusho kibao,halafu sasa unakuja kuta kuna lofa mmoja either katoka congo,malawi,,burundi,zambia,nigeria ndio usiseme wanawaona kama wazungu, yaani popote almradi tu sio mtanzania,hata awe katoka kabul afghanistan poa tu,mbaya zaidi waweza sema anatafuta maslahi,unaweza kuta jamaa mwenyewe choka mbaya sana,lakini demu yuko tayari hata kufanya uchangu kwa majamaa mengine,ili tu aendelee kumpa gud tyme huyo huyo jamaa yake foreigner,dah mie hapo huwa ndio nashindwa kuwaelewa kabisa,so cheap stuff,kwanini mnafanya mambo haya lakini,naomba mtujibu pulizz.

Kaka agheri nawe umeliona na kuamua kuliweka hapa JF, huu ni ukweli mtupu hawa dada zetu wanawababaikia sana wageni wakati hawana lolote si chochote.Mi nafikiri ni ushamba tu na mawazo mafupi kuwa labda atamtoa hela ndefu au ataondoka nae.Jirekebisheni dada zetu mnatutia aibu.
 
Chimu jaribuni kutuelewa, hamna asiyetaka mapenzi ya kweli hiii yote ni kutapatapa kumtafuta yule unayedhani ndo atakupa unachokitaka......and not otherwise!!!
i dnt think kama huwa wanakuwa na mapenzi ya ukweli,for the matter of fact mwisho huwa mnakuja kuachwa solemba tu na kubaki na majonzi,maana ninavyojua hawa watu huwa wanadumisha mila,kwa swala la mwenza wa ukweli wanaenda kuchukua kwao.
 
mkuu mi siwahitaji,ila huwa nawaona tu wanavyowashobokea hawa jamaa,yaani mpaka aibu kuona ni wabongo wenzio.

hata nyie mnashoboka sana kwa hao non-bongers shem wala usitake kutubebesha furushi la visingizio hapa........

hii game tunacheza wote bana.....that I have concluded!!! hakuna dada wala kaka wa bongo hapa!!
 
i dnt think kama huwa wanakuwa na mapenzi ya ukweli,for the matter of fact mwisho huwa mnakuja kuachwa solemba tu na kubaki na majonzi,maana ninavyojua hawa watu huwa wanadumisha mila,kwa swala la mwenza wa ukweli wanaenda kuchukua kwao.

same applied to wanaume wa kibongo.....mwisho wa siku tunalia vile vile!!!!

so.........................
 
mkuu mi siwahitaji,ila huwa nawaona tu wanavyowashobokea hawa jamaa,yaani mpaka aibu kuona ni wabongo wenzio.

Kwa mtu aliyesoma post yako ya kwanza ni vigumu kuamini kama ni wewe unayekuja na kauli hii. Kama huwahitaji sasa hii hadithi yote ya nini? Halafu sina hakika kama umetembelea nchi nyingine. Hali huwa kama hivi, mgeni anakuwa na mvuto fulani. Hebu achana nao kama huwahitaji na usiwasakame bure!
 
Kaka agheri nawe umeliona na kuamua kuliweka hapa JF, huu ni ukweli mtupu hawa dada zetu wanawababaikia sana wageni wakati hawana lolote si chochote.Mi nafikiri ni ushamba tu na mawazo mafupi kuwa labda atamtoa hela ndefu au ataondoka nae.Jirekebisheni dada zetu mnatutia aibu.
khaaaa!!!
 
na hilo hasa ndo tatizo la binadamu (wake kwa waume) tunaangalia sana mapungufu ya wengine tunajisahau wenyewe thinking we angels sent from heaven!!!

Da B, huo ndo unaitwa mchezo wa nyani kutoona lidubwasha lake, lakini anayashangaa na kunanga ya wenzake!!
 
Kwa mtu aliyesoma post yako ya kwanza ni vigumu kuamini kama ni wewe unayekuja na kauli hii. Kama huwahitaji sasa hii hadithi yote ya nini? Halafu sina hakika kama umetembelea nchi nyingine. Hali huwa kama hivi, mgeni anakuwa na mvuto fulani. Hebu achana nao kama huwahitaji na usiwasakame bure!

kaka DC mwache BK leo ni 'mouthpiece' yenu sijui niseme hivyo.........

hatuhitaji n yet hez complaining...............on u guys behalf!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom