Madactari na wote mliokutana na hili tatizo nisaidieni ndugu zangu

Nivea

JF-Expert Member
May 21, 2012
7,459
4,748
HABARI ZENU NDUGU ZANGU NAWASALIMU WOTE!
Mimi nina mtoto wa miaka sita sasa,anatabia ya kula vitu vifuatavyo alianza toka alipopata tu akili nikajua ataacha ila kadri anavyokuwa tatizo linazidi na ninahisi itamletea madhara:
anakula vitu hivi
1.chokaa
2.mawe meupe anayamumunya
3.udongo
4.gypsum powder
5.rangi ya ukutani
6.mkaa
Imefikia mahali hajifichi tena anakula wazi na anashindwa kujizuia anakunya kinyesi kinanuka sana ,sikuweza kugundua sababu nimekuwa mtu wakutoka saa 11 kurudi usiku .
ninaomba msaada
1.je hiii ninini na inatikana na nini
2.nimtibu vipi il asitaki kumpa dawa nimtibu kwa vitu asilia
3.je niukosefu wa nini?
4.je hatakuwa ameathirika na vitu hivi?
NAWASILISHA
MCHANGO WENU WA DHATI NITAUHESHIMU SANA NAKUUTUMIA
 
Atakuwa na deficiency ya madini fulani, nakushauri umpeleke hospitali kumuona daktari wa watoto haraka

Pole sana nivea!!!!!!!!!
1. Hii hali inaitwa Geophilic na muhusika anaitwa Geophage. Tatizo kubwa linalomsumbua mwanao ni minyoo iliyo mingi tumboni (masnake) inayomsababishi kupungua kwa madini ya chuma mwilini na wingi wa damu. Haswa madini ya chuma yakipungua sana mtu unakuwa na hamu ya kula vitu vinavyonukia kama udongo na sampuli zake.
2. Mpeleke hospitali akapatiwe dawa kulingana na masnake aliyonayo tumboni, pamoja na za kurudisha madini ya chuma na wingi wa damu mwilini.
3. Angalizo: Jitahidi kadri ya uwezo wako kumshawishi haache hii tabia, itampelekea kupata cancer ya koho.
 
Ok! Pole sana ndugu! Kama utaweza! Jaribu kununua supplememts zenye madin ya chuma umsaidie mtoto! Ni gharama kidogo lakin itakuwa na msaada sana kwa mwanao! Naweza kukusaidia kuzipata.just call 0715720276.
 
siku ile ile nilimpeleka hospitali nikaandikiwa dawa walinipa dawa ya minyoo chupa tatu anywe kwa siku tatu mfululizo,na mafuta ya samaki.pia nampztia maziwa ya ng'ombe na mayai ya kienyeji kila siku na mboga za majani.- REX nakuomba uni PM hizo dawa na pakuzipata nitashukuru pia kwa mchango wako
asante
 
Last edited by a moderator:
na watoto wanaopendelea kula karatasi shida yao nini jamani maana ni mtoto anamiaka saba ila napenda sana kula karatasi,nimempeleka hospital wamenipa dawa ila naona tabia hii bado inaendelea.Msaada tafadhari
 
Itakuwa tatizo la mifupa yake. Vingi ulivyovitaji, ni rich in calcium. Sasa anapokuwa anatafuna vitu hivyo, humsaidia kujenga mwili wake hasa mifupa yake. Cha msingi, tafuta namna ya kutimiza mahitaji yake ya vyakula, akiwa sufficient kwa vyakula vyenye madini ya calcium, ataacha kula vitu hivyo
 
Nijue uko sehem gan itakuwa rahis kukuelekeza sehem iliyo karibu nawe!, mtoto ana umri gan!
siku ile ile nilimpeleka hospitali nikaandikiwa dawa walinipa dawa ya minyoo chupa tatu anywe kwa siku tatu mfululizo,na mafuta ya samaki.pia nampztia maziwa ya ng'ombe na mayai ya kienyeji kila siku na mboga za majani.- REX nakuomba uni PM hizo dawa na pakuzipata nitashukuru pia kwa mchango wako
asante
 
Last edited by a moderator:
Ok! Mtoto akiwa na tabia ya kula sana udongo mara nyingi wanapatwa na magonjwa ya minyoo inayopelekea wawe na upungufu mkubwa wa damu
unashauriwa kumpa mtoto dawa za minyoo kila baada ya miez mitatu na umpe chakula chenye madin ya chuma na folic acid,calcium vitamin na mafuta ya samaki. kama main,mchicha maziwa,samaki nk.lakin kwa kuwa mara nying wanakuwa hawana appetite unaweza kuwapa supplements zenye vitu anavyohitaji kwa siku ambazo zimeandaliwa tayari.kwa sehem ulipo vinapatikana banda la ngoz bara2 ya posta-gmboto lakin ili uvipate utahitaji particulars zangu,ni pm kwa maelezo zaid
ana miaka sita na niko dsm kigamboni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom