Mada maugo v/s fransis cheka

Maugo kashindwa kuendelea round ya 7 baada ya kupigwa makonde mazipo na mshini ni fransis chekaa

Mada upepo utakuwa umekata tu!hana pumzi za kuvukaga raundi y 6 jamaa!huyu cheka ana discipline na mazoezi wakati mada ni mtu wa chini sana!cheka sijui nani atamkalisha labda yule jamaa wa mbeya!jina limenitoka sijui benson
 
asante kwa taarifa mkuu...

hivi ulikuwa ni mkanda wa uzito gani vile?

Kwahiyo muda wote huo wewe ulikalia kutukanana mambo ya chooni na huyo kilaza mwenzio, mijitu mizima mmekazana kutukanana hadharani mambo ya kipumbavu na kutuonyesha matakataka yaliyojaa vichwani mwenu. Mafwala sana nyie!
 
kama ndo hivyo basi huyu jamaa hana mpinzani! namshauri atafute mapambano ya nje zaidi maana huko ndo kuna pesa
 
Wazee wa mawe asanteni kwa taarifa!usiku mnene wa leo mkumbuke simba mzee benard hopkins atapambana na simba kijana mwenye njaa chad dawson pale boardwalk hall ndani ya atlantic city,new jersey kugombea mkanda wa WBC light heavyweight!...maoni yangu!veteran hopkins anachezea kichapo leo
 
Kwahiyo muda wote huo wewe ulikalia kutukanana mambo ya chooni na huyo kilaza mwenzio, mijitu mizima mmekazana kutukanana hadharani mambo ya kipumbavu na kutuonyesha matakataka yaliyojaa vichwani mwenu. Mafwala sana nyie!

acha ujinga we dogo...nenda kakojoe ukalale!!!
 
Cheka anatumia makonde halisi au mawe/ misumari? Siamini kuwa Maugo ametokea mlango wa uani.
Hivi Maugo alifanikiwa kupunguza zile kilo 2 ndani ya saa moja kama alivyotakiwa?
 
Mkuu, uko baa au kijiwe cha kahawa?

ipotezee...

nikikwambia nilipo na niko na nani...unaweza kushikwa na mshtuko wa moyo kesho tukakuwahisha kinondoni makaburini.

niachie hawa madogo vichwa maji wenye kunywa maji ya chooni!!!!
 
ipotezee...

nikikwambia nilipo na niko na nani...unaweza kushikwa na mshtuko wa moyo kesho tukakuwahisha kinondoni makaburini.

niachie hawa madogo vichwa maji wenye kunywa maji ya chooni!!!!

jamani tumevamiwa hapa msaada pls
 
Dah!! ndugu zangu wa mitaa ya banana, ukonga, mzambarauni na pale kijiweni kwake Mangi bar nadhani leo ni aibu sana. jamaa kakalishwa kwenye stuli kuamka kama kakugundishwa na super glue hahahahaaa. Hizo ndonga banaaa.... My congrants to Fransic Cheka Mmakonde wa Morogoro
 
Back
Top Bottom