Mada maugo ndembendembe!

drmkumba

Member
Dec 27, 2010
52
1
Hatimaye yale majigambo ya nani zaidi kati ya mabondia Francis Cheka na Mada Maugo yamepata jibu yaani Francis Cheka ni mbabe! Kinyume na matarajio ya mashabiki wengi waliojitokeza kushuhudia mpambano huo wakitaraji kuona kiwango cha juu cha mabondia hao lakini mambo hayakuwa hivyo kwani Maugo aliboa sana tu kwa kumkumbatia Cheka kila mara hali iliyopoteza radha halisi ya mchezo huo! kwa stahili hiyo alimpa nafansi Cheka na kumtwanga kwa points! Hongera sana Cheka upekata ngebe ya mzee wa mieleka!
 
dah maugo anaongea km chiriku, lkn ukiona mtu anaongea sana ujue ni dalili za uoga na kushindwa
 
Nilimsikia maugo jinsi alivyokuwa na tambo kabla ya pambano utadhani angashinda round za mwanzo kwa k.o.
Big up cheka
 
Inaudhi sana mchezoo wao ck hizi wa kukumbatiana...hatuoni radha halisi ya masumbwi!!!!kila akipigwa moja anakumbatia....sasa kujihami gani huko??ngumi zinakosa msisimko...wake
 
style anayotumia maugo katika fights zake kutokana na weight yake ni wrong tactic...style za kukumbatia ni nzuri kwa heavy weight ambapo unamchosha mpinzani wako na kutoa one punch which can decide the winner,maugo ni bondia wa raundi nne akipitisha hapo pumzi inakata na anapanick.....
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom