Mada Maugo jiuzulu ubondia! Fuata nyayo za Tyson!!!

cheka anakula matofali jitu ngumi nzito ka nini? kama vp wamfanyie fitina we mtu gani unashinda wewe tu ka vp akapigane na warusi au wathailand

Kingine wadhamini.. Angempata mtu kama Jamal Malinzi(enzi za kina Mbwana na Rashid),angejulikana mbali.. Hana udhamini wa nguvu!
 
Mada Maugo kama Ferguson?Kila kipigo na visingizio vyake.

Na kipigo cha jana kutoka kwa CITY sijui fargason atasingizia nn?! .....au lile halikua goli kwa kua lilifungwa kwa kichwa!!
 
Back
Top Bottom