Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

hii nchi hawapo fair , maana kipindi wanatoa majina ambayo ni incomplete , unakuta jina lako halipo lkini mtu unashangaa mkopo hupati na fani ipo upande wa priority.
 
Magufuli afumue hii bodi...miaka nenda rudi imekuwa chanzo cha hasira ya wanavyuo dhidi ya ccm
 
Kweli kabisa mkuuu..... BOdi ya mkopo wanatoa mikopo kwa undugu sanaa.... magufur please tembelea pale ujioneeee.... haswa wale wadada wa heslb wanamajibu ya dharau sanaa......ifumulie tuuuuuu hiyo heslb
 
nyie wandugu ,,nilicho gundua sio kwamba bodi wanaupendeleo ila kuna missing of information ,,maana ake kuna makosa mengine ambayo hayapo kwetu kabisa ,,na kitu kingine bodi hawana office mikoani sababu wangekuanazo ni virahisi kwa watu kufatilia na kupata mkopo ,,kwa mfano Mimi imenilazimu kuagiza mtu anisaidie kufatilia ili kujua nini tatizo ,,alipo fika bod tatizo kweli likaonekana kumbe nacte wao hawakuwatumia bodi no yangu ya form four ,,sasa kwa namna hiyo ilikua vigumu kwa wao kutoa mkopo ,,lakini waliniambia nifatilie nacte na kuwaomba waitume hiyo no bodi na bodi wakanitaka niandike barua kuhusu hilo tatizo na kuwapelekea offine kwao ,,xo nilicho gundua matatizo yako mengi sanaa
 
Fedha zinaishia kupeana extrea duty na perdiems.

Masomo ya chuo yameanza inashangaza kuona majina ya wafaidika wa mikopo bado.

kuna ka mtandao cha wapiga dili hapo bodi au kwa wanaofahamiana na wafanyakazi wa hapo bodi.

Naendelea kukusanya ushahidi kama vipi tuwamwage hadharani....utendaji wa kipuuzi wa wachache ndio hupelekea hasira za wananchi kwa serikali.

Kuna course zinaeleweka ni priority sasa kinachochakatwa ni kipi?

Magufuli awatembelee hawa vilaza na asikubali sababu ya kuwa au kutokuwa na fedha...kutoa majina kunahitaji fedha?

Mwaka huu vyuo vimechelewa kufunguliwa cha kushangaza na mikopo inachelewa.

Hawa bodi ni wa kucharaza viboko...kwa kukiuka ahadi ya Magufuli wakati wa kampeni.
 
nyie wandugu ,,nilicho gundua sio kwamba bodi wanaupendeleo ila kuna missing of information ,,maana ake kuna makosa mengine ambayo hayapo kwetu kabisa ,,na kitu kingine bodi hawana office mikoani sababu wangekuanazo ni virahisi kwa watu kufatilia na kupata mkopo ,,kwa mfano Mimi imenilazimu kuagiza mtu anisaidie kufatilia ili kujua nini tatizo ,,alipo fika bod tatizo kweli likaonekana kumbe nacte wao hawakuwatumia bodi no yangu ya form four ,,sasa kwa namna hiyo ilikua vigumu kwa wao kutoa mkopo ,,lakini waliniambia nifatilie nacte na kuwaomba waitume hiyo no bodi na bodi wakanitaka niandike barua kuhusu hilo tatizo na kuwapelekea offine kwao ,,xo nilicho gundua matatizo yako mengi sanaa

Nadhani wapo loan officers katika vyuo wanaotakiwa kufikisha hayo matatizo lakini kuna disorganisation kubwa.

Isitoshe contacts number za Mkurugenzi hazirespond....wanafanya kazi kwa mazoea
 
pole sana, jaribu kuwasiliana na watu wa bodi au kama una mtu dar afuatilie kuna case za watu fomu zao kutofika bodi hivyo inabidi ujaze upya na kuonyesha viambatanisho vya maombi ya mwanzo.
 
hata mimi baada ya kukosa lot zote nkaamua kwenda hadi bodi na ikaonekana fomu yangu haikufika, hvyo wakanitaka niandike barua na kuambatanisha nakala ya fomu ya mwanzo! hvyo unaweza kuxubl kumbe details zako hazipo bodi!! nakuxhauri fka bodi ili uhakiki taarifa zako kama zipo!! mungu mwema atakuxaidia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom