Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

Nimechaguliwa kwenye chuo nimeenda kulipoti naambiwa sina qualification nacte wakanipa nafasi ya kufanya machaguo tena nimekosa chuo. Profile inasema not selected
 
Nimehama chuo na koz kutoka st joseph bse kwenda makumira baed na wakati huohuo nilikuwa nimepata mkopo. Je mkopo wangu ntaupata nikiwa chuo nilichohamia?
 
Nimehama chuo na koz kutoka st joseph bse kwenda makumira baed na wakati huohuo nilikuwa nimepata mkopo. Je mkopo wangu ntaupata nikiwa chuo nilichohamia?

baada ya miezi kama 5 hivi kama ukifatilia ila ukikaa tu na kusubiri heslb wakuletee wenyewe ha ha ha ha mwaka utaisha na ukianza mwaka wa pili ndio utapata pesa zako cha msingi fatilia ili details zako zihamishwe
 
Iv kigezo gan kingine kinamfanya mtu kukosa mkopo wakat fan yake ni priority na hana uwezo...ufafanuz plseeeee
 
ww utakuwa ulikosea kujaza form na yale majina ya kuhakiki form zilizokosewa hukwenda yalivyotoka hukwenda kurekebisha... Ukifata protocol huwezi kukosa mkopo.
 
kama ulimaliza form six au diploma miaka mitatu ndo kikwazo lakn wapo wengi kama hao wamepata otherwise Ni upendeleo tu nipo na wa private O-A LEVEL na wamepewa 97%
pole dunia haiko fair
 
kama ulimaliza form six au diploma miaka mitatu ndo kikwazo lakn wapo wengi kama hao wamepata otherwise Ni upendeleo tu nipo na wa private O-A LEVEL na wamepewa 97%
pole dunia haiko fair

HII NDIYO BONGO TOA KITU PATA KITU.... sidi mwaka jana heslb walitufanyia unyama sanaa. ... watt wa matajiri walipata mikopo lakini watoto wa wakulima,mama ntilie na masikin walikosaaa... hapo ndipo nilihamini kuwa nchi haipo fair.....
 
We jamaa bhana..yan unangoja mkopo ili umalizie usajili? kwahyo unategemea hela ya mkopo ndo ulipe michango? hujui km huwez sain mkopo kabla ya usajili kukamilika?
 
Wengine bado tunakosa, form zetu ziko vizuri na fani ni priority. Why only us. Wajaribu kutoa japo kwa asilimia chache...kama pesa haitoshelezi, kuliko kuachwa kabisa.
 
Back
Top Bottom