Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Njoo mwenge nitakuchekia mkuu.fafanua inazingua nini mkuu?? maana kuna magonjwa mengine sio ya softwere bali ni hardware.hivyo utakimbilia kupima utapima na bado huta pata solutionTE="brazuka, post: 18311229, member: 228999"]Wakuu salama...kufanya engine diagnosis ni kama shiling ngap...na wapi ni mahali pazuri.
toyota opa inazingua kidogo[/QUOTE]
Njoo
 
Njoo mwenge nitakuchekia mkuu.fafanua inazingua nini mkuu?? maana kuna magonjwa mengine sio ya softwere bali ni hardware.hivyo utakimbilia kupima utapima na bado huta pata solutionTE="brazuka, post: 18311229, member: 228999"]Wakuu salama...kufanya engine diagnosis ni kama shiling ngap...na wapi ni mahali pazuri.
toyota opa inazingua kidogo
Njoo[/QUOTE]

Mkuu inawasha check engine mwanzo mwisho...nshabadili kila kitu..kuna mlio flan unatoka ndani ya engine siulew pia mkuu
 
Ahsanteh sana mkuu ko hata Runx na allex hazina unafuu mbele ya spacio?
Spacio, Run X, Allex zote ni aina tofauti za Corolla na zinatumia platfom moja.
Spear kibao.
Run X na Allex zina balansi kubwa barabarani kwa mwendo kasi wa safari ndefu lakini spacio ina nafasi kubwa zaidi..
Pia Run x na Allex zinavumilia barabara mbovu kuliko spacio kutokana na muundo wake.
Chagua moja kuendana na mahitaji yako halisi.
 
Wadau...! Hiv ukitaka kujua kama gari unayotaka kununua imechukuliwa mkopo yaan imewekwa bondi...mfano benki....nafanyaje kujua?! Asanteen
 
Wakuu mimi nina vw polo ya mwaka 2004 ilishot kwenye fiuz box gari ikaungua waya zote za kulia fiuz box yote pamoja na dashbody , sasa nimenunua vitu vyote, sasa gari ukiwasha inawaka na kuzima, sasa mafundi wanadai gari ina mobilize sasa hakuna njia ya kuidisconeti kwa ikawa sawa wakuu?
 
Njoo mwenge nitakuchekia mkuu.fafanua inazingua nini mkuu?? maana kuna magonjwa mengine sio ya softwere bali ni hardware.hivyo utakimbilia kupima utapima na bado huta pata solutionTE="brazuka, post: 18311229, member: 228999"]Wakuu salama...kufanya engine diagnosis ni kama shiling ngap...na wapi ni mahali pazuri.
toyota opa inazingua kidogo
Njoo[/QUOTE]
Mkuu kumbe hizi maniaje ni sana tu. Umeni inspire "kinyama". Itabidi nikutafute.
Sijawahi kujutia kuingia JF, maana kwangu imekuwa zaidi ya University, kutokana na professionals za watu mbali mbali ninazokutana nazo.
 
Mkuu kumbe hizi maniaje ni sana tu. Umeni inspire "kinyama". Itabidi nikutafute.
Sijawahi kujutia kuingia JF, maana kwangu imekuwa zaidi ya University, kutokana na professionals za watu mbali mbali ninazokutana nazo.[/QUOTE]

Mkuu na wewe inazingua check engine pia
 
Habari za asubuhi wadau!!. Naomba kujua brand nzuri ya matairi ambazo ni salama na zinadumu pia ningependa kujua rims nzuri ambazo ni imara na zina mwonekano mzuri. Natumia Rav4 old model naomba pia mwongozo wa nitakapovipata na bei ya rim/matairi . Ahsante
 
Kuna brands nyingi za tairi nzuri, na bei pia zinatofautiana saana kwa factors nyingi, ikiwemo size unayotaka. Ila kikubwa inategemeana na matumizi yako ya gari. Kama unasafari za mwendo mrefu za mara kwa mara ni bora kununua brands kama Kumho, Pirelli, Dunlop etc, ni uhakika. Kwa safari za mjini, hakuna shida, brand yeyote inakusukuma vizuri tu, hata za Kichina as long as utafanya investment ya mara kwa mara kwenye wheel alignment kuzuia tairi kuisha upande mmoja na kukagua upepo mara kwa mara.

Kuhusu rims, kama unapenda za alloy, as as opposed to zile za chuma, then ninakushauri utafute used za Toyota hasa Rav4, Kluger n.k kuliko kununua mpya za aftermarket. Mpya za madukani haziaminiki saana, hasa kama unasafiri usiku ambapo unaweza piga shimo za kutosha ukiwa barabarani. Hizo used unaweza pata kuanzia Tshs 600,000 - Tshs 1,000,000
 
Sawa kabisa kiongozi....matairi yanahitajika matunzo sana hata kama ni brandi kali kama izo kumho bridgestone nk...kosa kdg la alignment au wheel balance au upepo basi utaisoma namba tu. Hawa kina goodride wanakuja vizuri sasa hivi
 
Wakuu msaada kidogo,
Wapi nitapata wataalam wa kubana mafuta kwenye rav4 old model!?
 
Sawa kabisa kiongozi....matairi yanahitajika matunzo sana hata kama ni brandi kali kama izo kumho bridgestone nk...kosa kdg la alignment au wheel balance au upepo basi utaisoma namba tu. Hawa kina goodride wanakuja vizuri sasa hivi
Ni kweli. Wengi wetu tunajua kufanya balancing and alignment ni pale tu unapofunga tairi mpya. Kumbe ni suala la maintenance ya kawaida kabisa ya mara kwa mara.
 
Cha msingi angalia kama kuna tatizo linaifanya itumie mafuta kuliko kawaida ulitatue mkuu
Ni kweli. Kuna watu huwa wanafanya mbinu za kufinya nozzles ili mafuta yatoke kidogo. Ila sio mbuni nzuri kabisa. Maana inapunguza life time ya engine.
 
Back
Top Bottom