Wi_Fi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 212
- 192
Jaman mpeni jibu mwenzetu kwa wazoefu.Habari ya jpili wapendwa, Naomba ushauri wenu tafadhali! Nimeipenda gari aina ya Nissan dualis,vipi kuhusu strengths na weaknesses zake.
Jaman mpeni jibu mwenzetu kwa wazoefu.Habari ya jpili wapendwa, Naomba ushauri wenu tafadhali! Nimeipenda gari aina ya Nissan dualis,vipi kuhusu strengths na weaknesses zake.
Angalia vitu hivi;Wakuuu na gari aina ya passo sasa majuzi wakati naendesha ikaanza kupiga makerere na kutetemeka mwanzoni nlijua labda kwa kua mafuta yalikua kidogo, nlivyo weka bado tatiz likiendelea mara hii ata gari imekua aina nguvu kabisa ata ukikanyaga mafuta inatembea mwendo mdogo tofaut na awali, tatizo itakua nin wakuuu
kama ni hiyo nyekundu mkuu ni alama ya airbag .kama ulisha wahi fungua baathi ya sehem zinazopita soketi za systerm ya airbag basi ni lazima ufute code kwa mashine au ungekuwa fundi ungefanya manuallyHii alarm hapa ni kitu gani na ni nini problemView attachment 393690
Mkuu lipo moja kkoo, mbele kdogo ya big bon ukiwa km unaenda fire, kushoto kwako.. Ila uende vizur wanatizama uso ukienda kichwa kichwa wanakupiga spea ya 70 elfu utaskia lak 2, hawajakupigia hesabu ya kodi ya uwongo hapo.. Wezi kwel jamaa wale.
Shukrani sana mkuu nmejua wapi pa kuanzia.Angalia vitu hivi;
1. Kagua mount zote tatu
2. Tafuta fundi umeme mzuri kabisa anaejua codes nyingi akufutie alarm maana hizo gari zinazotumia controlbox some tym ni very computerize usipokua makini watu wanaweza chokonoa gari yako kwa kuhisi magonjwa waliyoyazoea kwenye magari ya kawaida alafu wakakuharibia gari.
3. Angalia na hiyo miss.
Mimi pia passo yangu ilikua inatetemeka mpaka kero nishaenda kwa mafundi wataalamu kadhaa lakini ilishindikana matokeo yake niligundua mwenyewe hii mount ya upande wa gearbox ilikua imepasuka. Nikanunua nyingine nikafunga problem kwisha kabisa. Pia gari ilikua na tatizo nikiwa ndio nataka ondoa gari mfano nikiingiza gear yeyote kati ya reverse or D inachelewa kidogo alafu ikiingia inagonga na kustuka kwa nguvu, hapa ilikua kasheshe kila ninapoenda wananiambia ni gearbox inatakiwa kushushwa duh! Nikawa siamini naona kama nitaaribu gari. Finally kuna jamaa yangu akanielekeza kwa fundi wa umeme nikampelekea uzuri wa yule jamaa kazi ya kufanywa na kifaa cha kusoma dignosis akafanya mwenyewe kwa kuwa alishakariri codes nyingi mno, kumbe gari yangu ilikua ina fault nyingi kwenye controlbox basi alitumia kama lisaa limoja baada ya hapo gari mpya hakuna kustuka wala nini yaani saafi kabisa vinginevyo ningeibomoa gearbox bulee
Nhisi hapo ndiio nilipoenda kununya, baada ya kugadhibika na wale wahuni.Ni kweli hao jamaa wanaitwa MASTERCARD, ni wezi sana wa kodi...! Kuna duka lingine lipo karibu na ofisi za Raha leo mtaa wa shaurimoyo, wale wapo vizuri sana. Wanauza spea mpya za nissani lkn pia wanakupa risiti halali ya malipo yako.
Raum zina shida ya umeme kwenye milango hasa ya kushoto nenda kwa ufundi auangalieMkuu mimi gari yangu ni RAUM toka juzi nikifunga milango ya kushoto kwenye dash board inaonyesha milango ipo wazi nimepeleka kwa mafundi kama watatu wameshindwa Sijui tatizo litakuwa nini
Sio antenna mkuu kagua kagari kako then gongs up na down uona mini kinatokeaNaomba kujuzwa kile kitufe kilichoandikwa 'Down Auto/Up kina kazi gani? Hii ni Carina si. Ninayo mwaka mzima lakini hicho kitufe sijui kabisa matumizi yake, Msaada kwa anayejua.View attachment 395248
Nimeshajaribu mara kadhaa sijajua hasa kina kazi gani hadi leo.....Sio antenna mkuu kagua kagari kako then gongs up na down uona mini kinatokea
hako kanatumika kuset side mirrow. Hapo juu unaweka kama ni left then unaanza kukiset kwa hizo batan za chini mpaka kitakapokaa unavyotakaNaomba kujuzwa kile kitufe kilichoandikwa 'Down Auto/Up kina kazi gani? Hii ni Carina si. Ninayo mwaka mzima lakini hicho kitufe sijui kabisa matumizi yake, Msaada kwa anayejua.View attachment 395248
Hiyo ni switch ya taa za urembo (ziko kama antena) zinazokaa kwenye bumper mbele na nyuma. Hizo taa huwa zinaingia ndani (ukibofya down) na zinatokeza (ukibofya up). Ukiweka auto zinatokeza ukiwasha taa na kuzama ukizima taa.Naomba kujuzwa kile kitufe kilichoandikwa 'Down Auto/Up kina kazi gani? Hii ni Carina si. Ninayo mwaka mzima lakini hicho kitufe sijui kabisa matumizi yake, Msaada kwa anayejua.View attachment 395248
Mkuu nimeona hizi Mazda TRIBUTE 2001 SUV zinahimili kweli mikimiki ya vumbi pia spare zake vp zapatikana kwa wingi?Bolts n nuts kulegea kwenye mfumo mzima wa engine
Plugs za kubadili
Tyre zina nundu