macntosh G3

NR'S

Senior Member
Feb 14, 2012
106
12
Wadau jamani mwenye ujuzi wa hii kitu aina operation system{mac os} yake anaejua nitaipata wapi msaada plz na je naweza kuinstall software ambazo nilikuwa natumia ktk pc ya kawaida na game zake
 
kah, mkuu unaiongelea imac g3 ninayofahamu au? coz ninayofikiria mie hapa ni ya miaka za babu wangu. anyway kuhusu os yake, kila kitu ambacho hutoka kwa apple (macbooks, imacs, ipods, ipads, iphones etc...) huwa zinatumia OS za apple (iOS for tablets, phones and ipods na Mac OS for laptops and desktops). hivi basi unatakiwa utafutane na Mac OS na games na software za Mac OS

Mac OS ni aina ya operating system kama windows na mpaka sasa imefikia 10.8 (mountain lion) ila tu kama vile mashine za intel za zamani hazisupport windows 8 au 7, hiyo G3 inaweza isisupport. ningekushauri utafutane na 9.x.x kwasababu G3 ilitoka siku za 8.x.x au kama utapata shida kupata (na utapata shida, Mac OS ni OS ambayo haitumiki mno afrika) tafutana na 10 za kwanza kwanza na uwe na utundu wa kutosha itasumbua kukubali kuinstall kwenye hardware ya kizamani kidogo

jaribu download hii link ya Mac OS 9
 
Back
Top Bottom