machungu ya kumpenda mtu akaleta dharau

Itakuwa mmekutana kwenye mtandao tu huyo. Ndio maana unasema hamjawahi kuonana ila mnawasiliana, unampenda na unamsaidia matatizo yake. Juzi kuna binamu yangu wa kike wakati anafungua ukurasa wake wa facebook nilishangaaa kukuta friendly requests zaidi ya mia mbili. Na bado zinamimininika. Na akanionyesha wakaka ambao wamemtongoza kwa kutumua pesa kwa kumuomba awatumie namba ya Voda ili wamtumie pesa kwa njia ya M Pesa. Kwa kuwa mdada mwenyewe naye yuko dakika mbili mbele, ameshatafuna sana pesa za wanaume wakware wa aina hiyo.

Inakuwaje unaona picha za mtu kwenye facebook, unamtamani (sio kumpenda) halafu unakimbilia kutanguliza pesa? Nadhani ninaweza kufungua darasa la ushauri nasaha kwa wanaume wanaojifunza kutongoza! Maana huwa nawahurumia. Unakuta baba mtu mzima analipa ada IFM au CBE kwa mtoto wa kike ambaye kidato cha nne amepata ziro na wala hana mpango wa kuendelea na masomo. Ila anavuta pesa ya ada kwa wanaume hapa mjini!

Anza upya, umeshachunwa, ichukulie hiyo kama changamoto na fundisho katika njia za kuanzisha mahusiano yenye tija.
 
May be ww umekuwa mshika mapembe tuu ndo maana unamtatulia matatizo mengine, na mengine anatatuliwa na wengine. So what? Pambana
 
unajua imet this guy katika facebook 3yrs ago na alianza yeye kuni approach, na sikua nataka kua nae ila unajua sisi wana wake tuko dhaifu mbele ya man ni mtanzania kama mimi, na tukajua kwa picture na kuongea kwasimu , kiasi ambacho ,,ikawa zaid kuambiana kila kitu, mimi niko u,k kwa muda huuu yy yko africa ,,anacho taka mm na nunua kupeleka, but yeye kama sija tuma msg hatumi, kama sija piga simu the same ,,na niki mwambia kua vip una nipenda anasema siwezi kukupa ahadi ,sijui next what ill happen
 
Ulidanganyika kirahisi hivyo? Poor investment plan, pole!
 
unajua imet this guy katika facebook 3yrs ago na alianza yeye kuni approach, na sikua nataka kua nae ila unajua sisi wana wake tuko dhaifu mbele ya man ni mtanzania kama mimi, na tukajua kwa picture na kuongea kwasimu , kiasi ambacho ,,ikawa zaid kuambiana kila kitu, mimi niko u,k kwa muda huuu yy yko africa ,,anacho taka mm na nunua kupeleka, but yeye kama sija tuma msg hatumi, kama sija piga simu the same ,,na niki mwambia kua vip una nipenda anasema siwezi kukupa ahadi ,sijui next what ill happen
Pole sana..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom