Machozi yanitoka kwa uchungu na mawazo..............!

Atakuwa yule mwenye yule binti
uliyemkuta akifanya kazi ya uyaya kule kwa yule tajiri.

Lakini si ulisema alishatwaliwa mbele za haki?.

Nimemkumbuka mpenzi wangu wa mwaka 2000 aliyenitenda mpaka tukatemana.......................
 
hiyo ndiyo miziki yangu nikihama nahamia country, siwezi hii ya vizazi vipya maana hainijengi, labda mpoto kimtindo
 
Back
Top Bottom