Macho yameingia ndani baada ya kuharisha siku moja

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,726
312
Heshima mbele
Wana JF pasaka ilikuwa mbaya kwangu baada ya tarehe 6/4/12 kununua dawa ya kienyeji ya kutoa sumu mwilini iliyokuwa inauzwa na Wasabato na tarehe 8/4/12 kuinywa
baada ya kunywa nilienda haja kubwa na kinyesi changu kuonekana kuwa na mirenda mirenda baada ya dk 30 niliienda tena na hapo ndipo nilipoanza kuharisha nilikuwa naharisha particles nyeusi na kuharisha huko kulikuwa kila baada ya saa moja. mpaka jioni nilikuwa nimeharisha zaidi ya mara kumi lakini sikudhoofika sana.
kwa sababu niliogopa kuishiwa na maji mwilini niliamua kwenda hospital ili niongezewa maji aidha niliongezewa dripu mbili za maji na sasa mimi mzima kabisa.
Lakini baada ya hapo macho yameingia ndani na mashavu yammebonyea sana. Je, nitumie chakula gani ili nirudi katika hali yangu ya kawaida/zamani/niongeze shavu
Natanguliza shukrani
 
baba umekwisha jiandae kwenda kuonana na STEVEN KANUMBA iyo dawa ni sumu imeshaingia kwenye mwili na ishaua cells there is no way to get back your life at normal imeshampeleka jirani yangu apa mikocheni yeye alikua anataka tutoa kitambi aliharisha baadae akapata nafuu baadae ikarudi homa na kumuondoa
 
daktari gani unawakatisha wagonjwa tamaa?hujasikia ameshapona?
 
baba umekwisha jiandae kwenda kuonana na STEVEN KANUMBA iyo dawa ni sumu imeshaingia kwenye mwili na ishaua cells there is no way to get back your life at normal imeshampeleka jirani yangu apa mikocheni yeye alikua anataka tutoa kitambi aliharisha baadae akapata nafuu baadae ikarudi homa na kumuondoa
Ungetumia busara kidogo.
 
duu,pole sana kichwa ngumu.na siku hizi,dawa nyingi zinauzwa kienyeji enyeji za ku loose weight.njia nzuri ni mazoezi na kupangilia mpangilio wa kula.na sio kutaka short cut
 
kuhusu vyakula nahisi kula vyakula ambavyo ni healthy,kama matunda,mboda za majani na maji kwa wingi.kidogo kidogo,utakuwa sawa.vile vile ni vizuri kufanya check up ya maini yako na figo,maana baadhi ya dawa huwa zinaharibu hivyo vita.inshallah,utakuwa ok
 
Dawa ka hiyo nilinunua maeneo ya ubungo, ila nilizuiwa na jamaa yangu kuitumia aliniambia inaweza kunitibu ila kwa kuleta tatizo jingine..Kwanza hazijahakikiwa na TFDA wala nini..
 
baba umekwisha jiandae kwenda kuonana na STEVEN KANUMBA iyo dawa ni sumu imeshaingia kwenye mwili na ishaua cells there is no way to get back your life at normal imeshampeleka jirani yangu apa mikocheni yeye alikua anataka tutoa kitambi aliharisha baadae akapata nafuu baadae ikarudi homa na kumuondoa
Mchawi siyo lazima ajitambulishe.
 
Mkuu pole sana, wewe kuwa na nidhamu tu ya kula matunda, maharage kwa wingi, juice juice! maji mengi kila wakati. Get well soon mkuu.
 
Back
Top Bottom