Macho inanisumbua...

shabanimzungu

Senior Member
Jul 7, 2009
182
2
Salam baada ya Salaam,
Juzi hivi imenunua miwani ya kusomea hapo kwa machinga na wakati nime jaribu ilnifaa vizuri nika ona vizuri kwa kusomea.
Lakini leo kichwa imeniuma wakati nasomea naye...je mnafikiri niende wapi? kuna rafiki ameniamia nina pressha ya macho....i am confused...vipi anyone can recommend me any eye specialis in Dar? Muhimbil nimesikia wana lipua..............CCBRT -foleni kibao........any other place?
Naihitaji urgent rcommendation..tfadhalini...............:)
 
Natumai mojawapo ya kitu kinachokufanya u-enjoy maisha ni MACHO. Kitendo cha kununua miwani ya kuonea kwa machinga inaonesha haupo serious kabisa! Ingiza mkono mfukoni utafute vituo vingi vya macho vya maana. Kuna kimoja nadhani kipo Temeke. Wadau watakujuza zaidi. CCBRT kweli ni foleni, ukizidiwa nenda tu hamna ujanja.
 
Temeke wapi? na pia mimi wakati wangu wote nipo mjini ofisini..je mna jua centre mzuri mjini? nime sikia hapo mikocheni kna kliniki mmoja ambapo RAis JK anatiniwa...je wajuayo?
 
Mzee shabanimzungu,

huwa navumilia lakini mzee unavunja vunja mpaka noma. Yaani umeniacha sina mbavu

macho inanisumbua
juzi hivi imenunua ...
wakati nimejaribu ikanifaa vizuri
Leo kichwa imeniuma wakati nasoma naye
... etc

Hii ndiyo ikanimaliza kabisa:
... kna kliniki mmoja ambapo RAis JK anatiniwa...je wajuayo?

Ntakusamehe kama ukisema ulisoma shule ya msingi akademi.
 
Salam baada ya Salaam,
Juzi hivi imenunua miwani ya kusomea hapo kwa machinga na wakati nime jaribu ilnifaa vizuri nika ona vizuri kwa kusomea.
Lakini leo kichwa imeniuma wakati nasomea naye...je mnafikiri niende wapi? kuna rafiki ameniamia nina pressha ya macho....i am confused...vipi anyone can recommend me any eye specialis in Dar? Muhimbil nimesikia wana lipua..............CCBRT -foleni kibao........any other place?
Naihitaji urgent rcommendation..tfadhalini...............:)

Pole sana rafili.
Tafuta 20,000 nenda CCBRT First Track kama umezidiwa sana. Hii itakuwezesha kumwona daktari bila kusubiri foleni ndefu
 
msimbazi eye centre patakufaa maana ipo town kama wewe unavyodai. ukiwa unatokea fire traffic light mbele baada ya kupita DIAMOND TRUST BANK angalia kushoto kwako kama hatua kumi hivi utaiona MSIMBAZI EYE CENTRE.
 
pole sana!!mkuu, ilikuwaje ukanunua kutoka kwa machinga?si unajua machinga vitu vyao vya "kichina"!!mi napafahamu msimbzi eyes center kama alivyokueleza mkuu hapo juu!!
 
Salam baada ya Salaam,
Juzi hivi imenunua miwani ya kusomea hapo kwa machinga na wakati nime jaribu ilnifaa vizuri nika ona vizuri kwa kusomea.
Lakini leo kichwa imeniuma wakati nasomea naye...je mnafikiri niende wapi? kuna rafiki ameniamia nina pressha ya macho....i am confused...vipi anyone can recommend me any eye specialis in Dar? Muhimbil nimesikia wana lipua..............CCBRT -foleni kibao........any other place?
Naihitaji urgent rcommendation..tfadhalini...............:)
we ndio **** kuliko mafala wote wanao jua umuimu wa macho...
 
JUST GO AAR CITY CENTRE CLINIC LOCATED AT PATEL BUILDING
POSTA MPYA-

COST-extensive consultation + investigations at only TZS 8000
Thereafter best advice and glasses of your choice at effective prices

don't hesitate go straight, hakuna foleni

you'll obtain health service that will bring changes to your life.

for more info just call 022-2701121 or use info@aar.co.tz
 
Salam baada ya Salaam,
Juzi hivi imenunua miwani ya kusomea hapo kwa machinga na wakati nime jaribu ilnifaa vizuri nika ona vizuri kwa kusomea.
Lakini leo kichwa imeniuma wakati nasomea naye...je mnafikiri niende wapi? kuna rafiki ameniamia nina pressha ya macho....i am confused...vipi anyone can recommend me any eye specialis in Dar? Muhimbil nimesikia wana lipua..............CCBRT -foleni kibao........any other place?
Naihitaji urgent rcommendation..tfadhalini...............:)

Kwani Huko Kenya kwenu hakuna Opticians?
 
Ahsanteni Jamani..nime kwenda Msimbazi eye centre lakini kwa kweli sijaridhika sana na huduma zao..kwanza dr amechelewa na ikabidii nisubiri saa mzima! jamaa kani refer CCBRT eti ameni shauli nitibiwe kule....hakuni shauri vizuri na matatizo yepi ya kichwa kuniuma saa zote..any more suggestions?
 
Baada ya kunishauri AAR leo nime enda saa 10.30.... pamependeza na nimepimwa macho na mitambo safi.state-of-the-art equipment wao ni SPECSAVERS.VISIONPLUS...Kampuni ya UK ubia na AAR inasemekana..baadaye kanishauri niende shoppersplaza kuchunguza vizuri na mitambo safi...wameni shauri miwani na pia nikapewa dawa -VISION ACE ..Pia kitu kilcho ni vutia ni TV inayo onyesha mambo mengi ya macho..pia wamemdepict MWALIMU NYERERE na slide show! huyu jamaa ana visitors book ambaye imesainiwa na watu mashuhuri mmoja wapo ni Rais Kikwete! I was impressed with sevices..ila I am not too sure kama kichwa kitani pona..wait and see when I get my glasses...the guy sounded a british qualified!
Ahsanteni
 
Back
Top Bottom