Macho hayana pazia- angalia kwa umakini hii video clip

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,488
79
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=K6CEFCafU9g[/ame]
 
Kwa kweli nimeangalia hiyo video clip, si hiyo tu bali kwa kuweka vcd original sehemu hiyo kwa kuplay slow speed nikagundua nia yako.

Sina hakika sana na lengo lako nadhani ni maumbile yake kutokana yeye alivyo. Ngoja nitulie nisiseme sana kama huoni vizuri chukua mkanda au vcd ya wimbo huo halafu chungulia kwa makini utagundua kwa nini mtoa mada anasema macho hayana pazia.

Kweli watu mnachunguza, mimi nilikuwa sijui kitu hicho.
 
mkuu unasemea kinacho onekana kwa chini au?
jamani mmegundua nini?
 
Mimi niliingalia nikiwa na vijana wangu, ilipofikia sehemu ya huyo jamaa nikaona watoto wanaangalia pembeni kwa aibu. Kweli jamaa mzakali wake naona ulikuwa umepanda midadi
 
kweli wewe umeangalia clip vizuri!
 
Back
Top Bottom