Machizi na kioo !

DAWA YA SIKIO

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
979
180
Machizi wawili katika pitapita wakaokota kioo. Kichaa wa kwanza kujiangalia kwenye kikoo,akashtuka,
baada ya kujiona.
"Aloo huyu nani kwenye kioo mbona simjui ?!"
KICHAA WA PILI: (Akimpokonya kioo mwenzake na kujiangalia): Acha ushamba wewe,huyu si mimi umeshindwa kunitambua ?!
KICHAA WA 1 (akajiangalia kwa mara ya pili na kutikisa kichwa): Aah kweli huyu ni wewe,nilikuangalia vibaya mara ya kwanza!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom