Machinga wa kigeni ndani ya Bongoland

01_11_jx1xf7.jpg


Wadau hii imekaeje? Wazawa wanaponyang'anywa ajira kama hizi wafanye nini?
Hapa ni katikati ya jiji la Dar na hawa ni jamaa zetu wa kigeni.

Hii si ajira...ni utumwa wacha watumike ugenini
 



Hapo amekosekana mwenzao wa kusukuma mkokoteni tu..uwekezaji huo!!
Nyalandu upo??


Tena nampigia simu nw nw afungue Jamii acheck maana alitakiwa awe na Picha hizi Pia ila kiukwelii Serikali yetu imetupoteza kabisa na neno Privatization yaani walituingiza mjini na ndio Maana Mwl.Nyerere alisema nchi changa hizi munaingia kwenye soko hulia maskini kabisa kweli mataifa makubwa yanaingia kwenye ushindani wa soko huria na mataifa makubwa ndio hii sasa inaingia kwa mtindo wake

 
Back
Top Bottom