Machinga wa kigeni ndani ya Bongoland

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,172
01_11_jx1xf7.jpg

Wajasiriamali wa kigeni wakisukuma mkokoteni kupeleka bidhaa zao dukani katika mtaa wa Msimbazi, Dar es Salaam.
 
Mwenye kujua majukumu ya "Immigration" anyoshe kidole...........

Kutafuta ulaji bila kutumia akili.:frusty:
 
waache, si wanajua kutafuta pesa, hapa wamekuja kutafuta pesa, hawajaja kutapanya pesa, lazima wasave, watumia kwa ubahili na kubakisha vingi...si unajua...kama wabongo hawawezi kufanya hivyo, waache hao wachume...bora hata hao kuliko wanaoiba huko migodini.
 
Waache hawa Wachina, huwezi kulinganisha uchakachuaji wao kama ule wa wahindi
 
Hao wanakula jasho lao. kuliko serikali ya CCM inavyonyonya jasho la walalahoi wadanganyika
 
01_11_jx1xf7.jpg


Wadau hii imekaeje? Wazawa wanaponyang'anywa ajira kama hizi wafanye nini?
Hapa ni katikati ya jiji la Dar na hawa ni jamaa zetu wa kigeni.
 
Acheni ubaguzi enyi wazalendo!! Wanaoleta hofu ya haya yote na kutufanya Watanzania tujisikie fukara na wanyonge ndani ya nchi yetu ni Watanzania wenzetu, haswa wanasheria wakubwa nchini!!!
 



Hapo amekosekana mwenzao wa kusukuma mkokoteni tu..uwekezaji huo!!
Nyalandu upo??
 
Wanachunga mzigo wao wabongo noma wasije wakawatoka...ndo kujituma huko wamekuja kuwaonyesha kujituma aan amme lala
 



Hapo amekosekana mwenzao wa kusukuma mkokoteni tu..uwekezaji huo!!
Nyalandu upo??


ACHENI WATU WAJITAFUTIE MAISHA..MBONA KUNA WAAFRIKA/WATANZANIA THOUSANDS AND THOUSANDS WAKO ULAYA WANABEBA BOX? TENA VIZA ZILIISHA KWISHA NA WALISEMA WALIKWENDA KUSOMA? TENA HATA KUPANDA NDEGE WANAOGOPA...MAANA WATAKAMATWA....PLEASE...WAACHENI WACHINA NAO WABEBE MABOX..SEMA TOFAUTI YAO NA WENGI WETU HUMU NI KWAMBA GREEN PASTURES SISI TUNADHANI IKO ULAYA NA AMERICA WAKATI WENZETU WACHINA WANAIONA HAPO KWETU TUNAPOPAKIMBIA!

Ndo maana ya utandawazi..wacha watu wahangaike..kama wakiiba..well sheria itachukua mkondo wake..lakini tusikae hapa tunalaumu tuuu...hivi niulize ni watanzania wangapi walio hapa kwenye hizi keyboard zao wanaweza kusukuma huu mkokoteni kama hao wachina? Au tunaongea tuu kwa vile hatupendi "uwekezaji" wa kichina? Mimi siafiki hawa jamaa wavunje sheria..lakini kwa mtu anayejitafutia maisha..well...I support him/her. Maana na mimi nimehangaika hivyo hivyo..hakuna mahali nilipewa upendeleo. nilipovunja sheria nilikamatwa na kuadhibiwa..ila siyo kulalama eti wachina wanavunja sheria kwa kazi ambayo mimi mwenyewe siwezi kuifanya. Ndo globalization ati! Mnataka mkae ulaya na America..wao wakija..mnataka wapitie Tanzania Investment Centre! Nyinyi huko mlipitia? si mnapiga box usiku kucha?

Sometimes watanzania wenzangu siwaelewi.....

I am sorry kama kuna niliowaudhi..lakini ukweli unauma...tunabaki kulaumu tuuu..hawa kesho watakuwa na makampuni makubwa tuu...hapa hapa bongoland.....na hapo ndo tunaanza kulalama kwamba tunachukuliwa nafasi....tuache porojo..tuchape kazi.

WATANZANIA HATUJUI MAANA YA MSEMO WA "DELAYED GRATIFICATION". Wachina wanauelewa. And thats the difference!

Masanja
 
Back
Top Bottom