Habari Wanajamii!
Pengine hii mada ilishawahi kupewa maelekezo hapa ukumbini ila kwa ugeni wangu mnivumilie kwa swali hili! Jana nilipata wasaa wa kushuhudia watu wanatibiwa kwa kutolewa sumu mwilini hii ikiwa ni pamoja na mafuta, metals, na sumu nyingine zisizostahiri kuwepo ndani ya mwili wa binadamu!
Sikuweza kupata jina la machine hizo ila ninauhakika zimetapakaa sehemu nyingi tu za DSM! Naomba kufahamishwa juu ya hizi machine zinazodaiwa kuwa zinatoa sumu mwilini kama zinafahamika kitabibu au ndio yaleyale yakimagumashi?
Naomba msaada tafadhari kwa anayefahamu! Natanguliza Shukrani!