Machine ya vitofali inauzwa milion 60 Tsh

Zion Train

JF-Expert Member
Jun 5, 2008
501
78
sina utaalam nayo ni machine ya kutengenezea hayo mawe, hiko Poland, inauzwa mil 60 Tsh, pamoja na kukusafirishia mpaka Dar, mwenye nayo kaniomba nimtafutie mnunuzi, kama utakuwa unaijua na kuna vitu unataka kujua niulizie ni vitu gani nami bila hiyana nitamuulizia tu.





P2180598.JPG P2180599.JPG P2180600.JPG P2180602.JPG P2180603.JPG P2180604.JPG P2180605.JPG P2180606 (1).JPG P2180607.JPG P2180608.JPG P2180609.JPG P2180609.JPG P2180610.JPG P2180611.JPG P2180612.JPG P2180613.JPG P2180614.JPG P2180615.JPG P2180616.JPG
 
Hiyo bei kwa viwango vya Dar mie naon iko juu kidogo, hizi mashine zinapatikana mjini, jaribu kuulizia bei ya soko sasa hivi kisha mshauri ateremke kwani hiyo yenyewe sio mpya.
 
in china, this machine cost only USD 18,000 CIF dar es salaam, brand new inclusive pallets and very good quality

semi automatic with conveyor belt

with free two moulds,for paving blocks and hollow blocks

output capacity: 23,000 blocks (size; 230x150x450mm) per eight hours shift
 
mashine za kupigia tofari inayotumia umeme inapiga hivi vitofali wanabadili plate tu bei yake ni kama 3m tsh sasa hivi zipo nyingi tu
 
bda atuambie hiyo yake ina desighn ngapi na ina nini cha ziada?

mimi nahitaji na nimeshazifuatilia ila hiyo yako bei ni ghali sana na ukizingatia unasema badi iko ughaibuni.
 
in china, this machine cost only USD 18,000 CIF dar es salaam, brand new inclusive pallets and very good quality

semi automatic with conveyor belt

with free two moulds,for paving blocks and hollow blocks

output capacity: 23,000 blocks (size; 230x150x450mm) per eight hours shift

Niliziona sabasaba mwaka jana
 
wakuu kama nilivyosema, sina utaalam wa hizo machine, jamaa kaniomba nimtafutie mnunuzi, kutokanan na maelezo yake anasemema hiyo bei anayouza ni ya kutupa, inaitwa WIBROPRASA kama sio swala la lugha gongana naweza nikaweka namba yake ya simu ambaye anataka afanye nae contact direct. sikatai kabisa kama china bei rahisi, dar mil 3, sipingi chochote kwani sina nijuacho kutokana na hizo machine, ndiyo maana nikasema kama mtu atataka kujuwa maswali ya kitaalum aulize nami nimuulizie, ama kama unataka ucontact nae direct nitakupa namba yake ya simu
 
Back
Top Bottom