Elections 2010 Macheche ya ccm

kwamwewe

JF-Expert Member
Jul 15, 2010
1,801
541
CHWAKA+024.JPG



Pikipiki zikiwa zimepamba msafara wa Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Vijana (UVCCM) Taifa, Ridhiwani Kikwete ulipokuwa ukielekea kwenye mkutano wa kampeni katika Jimbo la Chwaka, Kusini Unguja, Zanzibar jana.
 
Huu ni ufujaji wa pesa za walipa kodi. Kweli hii familia ni ghali sana na inatakiwa iondoke mapema sana ikulu kwa maendeleo ya WaTZ
 
..kweli Tanzania siyo masikini.

..huu umasikini ni wa kulazimishwa tu na CCM.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom