Machangudoa wa UK kiboko,tahadhari kwa wana JF

hata sijapata bwana sijui wkend hii itakuwa vp au masharti magumuu?nipunguze nini?
 
Hapo kuna kitu/jambo lililowazi linalofichwa kwenye hii/hili hadithi/tukio.
HATA HIVYO UJUMBE UMEFIKA.

Ni kweli,nikielezea kila kitu itakuwa story ndefu kuliko hata kitabu,kusudio ni kuwajuza na kuwatahadhalisha juu ya kile kinachoweza kumtokea yeyote yule kwa staili hii ama nyingine na kumsababishia matatizo makubwa,binafsi kama nisinge lipa uzito suala hili sijui hatima yangu huko ingekuwa nini....mana yake sijui kama alikusudia mapenzi tu au kuna kitu kingine zaidi ya hicho..........WATCH OUT!!!
 
hata sijapata bwana sijui wkend hii itakuwa vp au masharti magumuu?nipunguze nini?

Ondoa namba 12, mimi Yanga na Liverpool.....................istoshe Lizzy ameshaku tym,lakini komaa na kaka Tall naona alionyesha interest,au we mfupi sana nini????
 
Nadhani itakuwa tabia yake/yao ku hack reservation info kubaini wageni wanaotaraji kutembelea hotel mbalambali.........
Mmmhhh... Anazipata wapi? anajua jina lako, jina la hoteli na pia anajua utakaa kwanza London kabla ya kwenda Liverpool? Kama kweli ana akili hiyo basi sio changu, apewe kazi MI5
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hahahaha, kwa kweli hii ni zaidi. Lakini, alijuaje jina lako na alijuaje unaenda UK?
Nadhani itakuwa tabia yake/yao ku hack reservation info kubaini wageni wanaotaraji kutembelea hotel mbalambali.........

...it doesn't add up,....

kama ni hacker, alijuaje flight number na time ambayo ndege ingefika?
Btw, mwanzo uliandika;
  • alikuwa na bango la jina lako,
  • akajitambulisha ni mfanyakazi wa hotel ulopanga kufikia,
  • Reception walikuuliza iwapo mpo pamoja, (Yaani na wao hawamtambui!)
aa bana?...are serious na hili skendeli?
 
...hebu weka vizuri
hii hadithi.... la sivyo, nipe namimi jina la hiyo HOTEL nami nifanye booking.

...it doesn't add up,....

kama ni hacker, alijuaje flight number na time ambayo ndege ingefika?
Btw, mwanzo uliandika;
  • alikuwa na bango la jina lako,
  • akajitambulisha ni mfanyakazi wa hotel ulopanga kufikia,
  • Reception walikuuliza iwapo mpo pamoja, (Yaani na wao hawamtambui!)
aa bana?...are serious na hili skendeli?
Aisee Moskwito........... me nilifikiri unabite them human beings usiku.......... kumbe hata mchana unafyonza tu.......... khaaa!

BTW Moreno O'campo alikuwa natafauta wasaidizi, nimtumie contacts zako?
 
Back
Top Bottom