Machangudoa wa UK kiboko,tahadhari kwa wana JF

duh kwanza pole kama kweli yamekukuta.
pili asante kwa kuwajulisha wanaume wenzako wa jamii forum ila hujatwambia mwishowe ilikuwaje?kaishia kukutukana hakuvaa ama?

..............Nilimwacha akavaa,alipokuwa akitoka ndo akaporomosha mijitusi,si unajua la mkosaji?????
 
Hiii movie kwanza haijapangiliwa vizuri. alafu Its fiction director analazimisha iwe based on true story. Ebu tuambie jina la hiyo hoteli ikiwezekana wa huko majuu waicheki. teh teh
 
ha ha ha halikuwa namjua bwana...ange MSUE jina lake katoa wapi ha ha ha.au wale wenye kesi walimwandalia ili asahau kilichompeleka

.............Yawezekana eeeeeehh! duh,aksante kwa kunishtua,next tym ntakuwa makini zaidi..............
 
Hiii movie kwanza haijapangiliwa vizuri. alafu Its fiction director analazimisha iwe based on true story. Ebu tuambie jina la hiyo hoteli ikiwezekana wa huko majuu waicheki. teh teh

Naomba usaidie kuipanga vizuri ili iwe true story...........
 
Huyu ***** nimemkubali, sijamwona mkare zaidi.Amefanya market segmentation na kuidentify target customer wake ni male travellers wanofikia mahotelini ,du hatari ama kweli she is in the scramble but moves with grace.
 
...I have A Dream!!!!!

gja0202l.jpg

...kaka, nambie jina la hiyo hotel nami nifanye booking.
 
Huyu ***** nimemkubali, sijamwona mkare zaidi.Amefanya market segmentation na kuidentify target customer wake ni male travellers wanofikia mahotelini ,du hatari ama kweli she is in the scramble but moves with grace.

...........................yuko juu kiukweli.
 
Hiii movie kwanza haijapangiliwa vizuri. alafu Its fiction director analazimisha iwe based on true story. Ebu tuambie jina la hiyo hoteli ikiwezekana wa huko majuu waicheki. teh teh
Hapo kuna kitu/jambo lililowazi linalofichwa kwenye hii/hili hadithi/tukio.
HATA HIVYO UJUMBE UMEFIKA.
 
Back
Top Bottom